Ni kweli, ila inategemea na usajili wako. Pia, kipindi kinapaswa kuwa na lugha moja (English au Swahili) kwa kuanzia mwanzo hadi mwisho.Tanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
CHagua moja kiingereza mwanzo mwisho wa kipindi ili msikilizaji ajue moja, kiingereza chenyewe hata cha dakika mbili hamuwezi kuongea zaidiWatu wa namna hii hopeless kabisa...
Hizi position wapewe vijana wa sasa..huyu anafikiri nchi ni kama familia yake binafsi...kwani kuna mtu amelalamika?..
Ukichunguza kwa umakini wafanyakazi wengi serikalini na mashirika ya umma ni waliopata ufaulu wa Kati na chini vyuo vikuu, na wale waliofaulu sana wanawahiwa na sekta binafsi mfano Barric, Tigo, Vodacom, nk ndio maana huwa matamko yao huwa ni ya ajabu ajabu. Mfano, Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa walishatabiri mvua kubwa, unajiuliza watu wa bodi ya sukari kwa nini hawakujua mvua hizo zitaathiri uvunaji miwa na kupelekea upungufu wa sukari na hivyo kuruhusu uagizwaji sukari ili kuzuia nahisi iliyopo mpaka kupanda bei? Mtu anajua hata maombi ya ajira ya baadhi ya kada kiingereza kinatumikaTanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
Wewe bata kaa kimya!CHagua moja kiingereza mwanzo mwisho wa kipindi ili msikilizaji ajue moja, kiingereza chenyewe hata cha dakika mbili hamuwezi kuongea zaidi
Kabla ya kuvichukulia hatua ninini kirefu cha TCRA?Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
[emoji329] TheChanzo
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Kabisa, labda anamaanisha yale matangazaji yalokua yanatuchanganyia kiarabu kwenye kutangaza Afcon yule wa TBC1 sijui anaitwa Nazarene UpeteTanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
Mshamba wa Kishimundu mnapa wadhifa wa mambo ya kisasa ya mjini.🤧Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Kweli, tuanzie hapo Kwanza!Kwanza hiyo T.C.R.A kirefu chake ni cha kiswahili au tunabagua vya kuviongelea 😁😁