Wakuuu, japo watanzania ni wagumu kupindukia Lakini ukweli unaonesha kuwa, pasipo kujali chama, rangi na kabila watanxania tunatakiwa kuunganisha nguvu Ya pamoja kupiga kura hata Kwa Hashim rungwe ili kuokoa taifa, wakuuu mmeziba masikio Lakini hizi sheria Leo hazitawabana wote kutokana kuwa ni kipindi cha Uchaguzi,
Lakini baada Ya Uchaguzi zitakula kote kote, kila mtanzani ataumia na hizi sheria, kumbuka kauli Ya lisu Mwaka 2016 aliiyosema bungeni kuwa magufuli akimaliza kuuwa democracy upinzani ataua democracy ndani Ya Ccm, wapo mliomtukana akina mama Sophia Simba, akina nape akina makamba aliesema kuwa huyu sasa atawapatiza Kwa moto, ndio walioumia wa kwanza na huyu mtu waliumia,
wakadhatirrishwa, wakaumizwa had kufukuzwa kwenye chama akaaanza kujuta, wakuuu huyu mtu wewe unaona kuwa anaumiza lisu Lakini baada Ya Uchaguzi wote watawekwa kwenye kapu moja tunaomba usishiriki kuwa sehemu Ya kujipalilia mkaaa, mbeleni kuna Giza totoro,
utakuja kushangaa Kama wale vijana waliokuwa wanasumbua humu Mwaka 2016na 2017 tuliokuwa tunawaita wa book Saba walipoteana na kuyeyuka Kama barafuuu baada Ya kukutwa na masahibu, Leo watawatumia na kuwaragai Uchaguzi ukiisha tutalia wote Wimbo mmoja tumkatae magufuli Kwa usalama wa wote