TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Acheni kulialia kama watoto wadogo fuateni taratibu zilizowekwa na TCRA
 
One man show.

1. Nyerere alisema "Muogope rais ambaye hatujui kesho ataamkaje ama atashauriwaje na mkewe".

Magufuli alisema "Inategemea kesho nimeamkaje."

2. Nyerere alisema hawezi kuwa jiwe.

Magufuli akasema yeye ni jiwe kweli kweli.

NCHI INATAWALIWA CHINI YA MKONO WA CHUMA KWA SASA.

IRP. Mwalimu Nyerere ulituonya.
 
Mngefungua tv yenu yasingewakuta haya.

Ruzuku mliitafuta kama karanga,hakuna jinsi tumieni tu citizen tv
 
Huyu Director wa TCRA anatudhalilisha sana Wahandisi. Pamoja la kusoma intergration...anashindwa kuintergrate mambo anaishia kuweka mikwara tu....
 
Hapo kwenye matulio ya dharula ndio kazi.

Mfano imetokea ajali unaenda kuomba kibali kwanza ndio uende live?
 
nadhani kun atofauti ya Kuomba Kibali na Kutoa taarifa.

Hii haina tifauti na mikutano, tunapswa kutoa taarifa polisi na kuomba kibali polisi.
 
mngefungua tv yenu yasingewakuta haya
Ruzuku mliitafuta kama karanga,hakuna jinsi tumieni tu citizen tv
Kwanza TV wako wapi?Clouds Media wamekua nje ya matangazo kwa muda gani?Star TV wameshapigwa faini mara ngapi?
 
This is the only thing that they are best, kuminya uhuru wa vyombo vya habari.... Ndiyo maana wagombea wengine wameapa kufutilia mbali hizi sheria za kipuuzi..
 
Wakuuu, japo watanzania ni wagumu kupindukia Lakini ukweli unaonesha kuwa, pasipo kujali chama, rangi na kabila watanxania tunatakiwa kuunganisha nguvu Ya pamoja kupiga kura hata Kwa Hashim rungwe ili kuokoa taifa, wakuuu mmeziba masikio Lakini hizi sheria Leo hazitawabana wote kutokana kuwa ni kipindi cha Uchaguzi,

Lakini baada Ya Uchaguzi zitakula kote kote, kila mtanzani ataumia na hizi sheria, kumbuka kauli Ya lisu Mwaka 2016 aliiyosema bungeni kuwa magufuli akimaliza kuuwa democracy upinzani ataua democracy ndani Ya Ccm, wapo mliomtukana akina mama Sophia Simba, akina nape akina makamba aliesema kuwa huyu sasa atawapatiza Kwa moto, ndio walioumia wa kwanza na huyu mtu waliumia,

wakadhatirrishwa, wakaumizwa had kufukuzwa kwenye chama akaaanza kujuta, wakuuu huyu mtu wewe unaona kuwa anaumiza lisu Lakini baada Ya Uchaguzi wote watawekwa kwenye kapu moja tunaomba usishiriki kuwa sehemu Ya kujipalilia mkaaa, mbeleni kuna Giza totoro,

utakuja kushangaa Kama wale vijana waliokuwa wanasumbua humu Mwaka 2016na 2017 tuliokuwa tunawaita wa book Saba walipoteana na kuyeyuka Kama barafuuu baada Ya kukutwa na masahibu, Leo watawatumia na kuwaragai Uchaguzi ukiisha tutalia wote Wimbo mmoja tumkatae magufuli Kwa usalama wa wote
 
Na bado si mnasema Lissu katumwa na mabepari natamani kuliona bunge lijalo Ee Mwenyezi MUNGU nisaidie.
 
Hakika mimi mpaka kichwa kinaniuma nikiwaza mambo ya serikali hii ya awamu ya tano. Kwa kifupi sasa wameachiwa TBC peke yao kutangaza mambo ya kitaifa. Sidhani kanuni hizi zinaihusu TBC, na kama zinawahusu basi hata wao watashindwa ku-cover matukio live.
 
Back
Top Bottom