ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Na ndio maana tunataka mabadiliko sasa...this is too much
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaduong huoni aibu kusema Ccm inapata uoga. Hivi unamfahamu mgombea ubunge wa Cdm jimbo la msalala? Unamfahamu mgombea ubunge wa Cdm jimbo la Nyamagana? Hapo Ccm inaweza kupata uoga?Yehodaya .
U communist haututoi mrisi zaidi ya kuwakandamiza tu wananchi . Miaka mitano mnajinasibu kukubalika . Mbona uoga kupita kiasi ?!
Sasa wewe unataka waruhusiwe kurusha hadi matusi na lugha za kashfa? Acheni kuwa na mawazo finyu kiasi hicho
haya yote yanatujia kwa hisani kubwa ya chama pendwa ccm.Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini
Sheria za kutungwa bungeni au ni zile za kutungia kitandani kutegemea na muamko.Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini
Kimefanya makubwa mda mfupi kuliko hata makubwa aliyofanya mkoloni lkn akijiaminihaya yote yanatujia kwa hisani kubwa ya chama pendwa ccm.
Tunataka kuona vibali vyote vya upande wa kijani sababu wao haipiti siku bila kuwa hewani, sheria ni msumeno..
Wanakimbiza wakati, ilifaa miaka ya 70 zama za gizaMambo ni pole pole walianza usajili WA YouTube account..nadhani mnaona tunakoelekea... Mjiandae account zenu za mitandao ya jamii...mambo yanakuja...
Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini
Au sawa na zile za tume zionazo ubwabwa wa Rungwe,kule kijani ni miwani ya mbao.wanaokosea kujza form Ni wagombea wa upinzani tuSheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua.TCRA wanakumbushia tu.Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa
Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live