TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Yehodaya .

U communist haututoi mrisi zaidi ya kuwakandamiza tu wananchi . Miaka mitano mnajinasibu kukubalika . Mbona uoga kupita kiasi ?!
Jaduong huoni aibu kusema Ccm inapata uoga. Hivi unamfahamu mgombea ubunge wa Cdm jimbo la msalala? Unamfahamu mgombea ubunge wa Cdm jimbo la Nyamagana? Hapo Ccm inaweza kupata uoga?
 
Ukiona giza linazidi ujue kunakaribia kucha! Yule mwovu kaanza tena uovu wake, ila kamwe hatashinda. haya ni mambo ya muda mfupi sana!
 
Yule bwana amekamatika hatari uzuri kila afanyalo linabuma zama hizi za digital, sheria kandamizi nyingi kuliko hata za ukoloni yote kulinda tumbo
 
Dah hawa jamaa sasa itakuwa mpka kwenda live insta au fb watataka kibali..
 
Mambo ni pole pole walianza usajili WA YouTube account..nadhani mnaona tunakoelekea... Mjiandae account zenu za mitandao ya jamii...mambo yanakuja...
 
Sheria zozote ambazo azijapitia bungeni Ni batili na atulazimiki kuzifuata. Atuwezi tii maagizo Kama mifugo.
 
Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini

Hiyo Sheria imetungwa na Watu kwa maslahi yao ,usihalalishe jambo linalo umiza wengine kisa lilitungwa na walio madarakani.
 
Sheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua.TCRA wanakumbushia tu.Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa

Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live
Au sawa na zile za tume zionazo ubwabwa wa Rungwe,kule kijani ni miwani ya mbao.wanaokosea kujza form Ni wagombea wa upinzani tu
 
Back
Top Bottom