TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Inakuaje mtu mmoja anakua na mamlaka na nguvu kubwa kiasi hiki?

Inabidi kuwe na mipaka ya kumzuia mtu huyu.

That's too much power for one person to have.
 
Mkataeni Magufuli huyu kwa nguvu zote mkiacha akapita huyu mtalimia Meno
 
Taratibu tunakuwa kama North Korea.

Italetwa mpaka mitindo kunyoa ya serikali.

Mbona tutanyooka tu [emoji23][emoji23]
 
Hata kama sheria hii ilikuwepo, kwa kitendo cha kuisimamia kwa juhudi nyingi kipindi hiki itatofasiriwa vibaya, kwanini kusiwekwe mazingira rahisi ya kupata habari za wote?
 
Tunapoelekeaa [emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️
 
Uchaguzi wa mwaka huu sioni kama kuna jipya ukizingatia hakuna tume huru ya uchaguzi, na waneanza kuminya malema saba, nadhani mikakati yao ni kuminya zaidi especially katika siku za uchaguzi
Hata kama hakuna jipya lazima Ccm wamepata funzo kuzuia mikutano na shughuli za siasa lakini bado wananchi wana msimamo, hata kama serikali inaendelea kuwafanya raia kuwa wajinga lakini raia wanataftiza habari na kujielimisha wenyewe kuupata ukweli na kujifunza.
Iwe mvua liwe jua Ccm haina muda mrefu itafurumushwa madarakani na ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya
Bila Ccm kuondoka madarakani maendeleo hakuna ni sawa na kutafuta bikira wodi ya wazazi.

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
 
Nilichogundua watu wengi wenye smartphone na ambao ni wasomi hawaikubali CCM ila wengi sio wapiga kura. Na wale ambao ni wapiga kura hawatumii izi simu Janja wala hawajui kama kuna kitu inaitwa TCRA ndo maana Mamlaka inaangaika na mitandao maana mtaani hapawashindi sana.

Nilishangazwa jana kuna wamamma wapiga story hawajui ata tundu lisu anaombea ubunge au uraisi. Na hawa wengi wao ndo wanapiga kura.

Kwaiyo saivi nikiwa na birthday au harusi yangu nataka kwenda live kwenye account yangu nikichukua kubaki?

Ila acha hii mamlaka itugandamize vilivyo ili tuongee lugha moja . Tutaelewana tu uko mbeleni
 
Hata kama hakuna jipya lazima Ccm wamepata funzo kuzuia mikutano na shughuli za siasa lakini bado wananchi wana msimamo, hata kama serikali inaendelea kuwafanya raia kuwa wajinga lakini raia wanataftiza habari na kujielimisha wenyewe kuupata ukweli na kujifunza.
Iwe mvua liwe jua Ccm haina muda mrefu itafurumushwa madarakani na ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya
Bila Ccm kuondoka madarakani maendeleo hakuna ni sawa na kutafuta bikira wodi ya wazazi.

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
Umesema kweli kabisa, na tena siku zinavyozidi kwenda, wananchi wanazidi kupata mwamko na kuwa na uelewa zaidi, tunapoelekea ccm itakua na mazingira magumu sana na upinzani utakua na njia nyepesi sana especially uchaguzi wa 2025
 
Umeambiwa matukio ya ki calendar sio impromptu!!

Kampeni za uchaguzi mfano ni matukio yenye calendar kabisa ndiyo yanaongelewa au scheduled interview
Sasa breaking news itakua reported vipi maana yenyewe ni impromptu. Huoni ni utahira sana utume email ijibiwe ndo uripoti breaking news live . Itakua sio breaking news tena . What if kuna tukio limetokea na kuna kikao cha dharura na waandish ili kutoa taarifa ya haraka tutasubir emails ? This is too sophomoric
 
Hivi wanajua maana ya "dharura"?!
Yaani tukio la dharura linatokea badala ya kurusha, unaanza kuandika barua pepe [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1565201
Maajabu zaidi kipengele (b) kinakwambia muda tukio litaanza na muda litakapoisha . Nafikiria tu kwa akili yangu ndogo breaking news ina muda wa kuanza na muda wakuisha. Duuuh
 
Back
Top Bottom