TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

Wewe uliyeleta huu uzi, kwanini DG na BC wa TCRA wameachwa? wakati nao wamefanya hilo hilo lililopelekea wenzao wa TTCL, Posta UCSAF kuondolewa..
Hata mimi ndicho NAJIULIZA ndiyo maana nimeleta thread hii ili WAZEE wa KAZI pale Geti Jeusi waifanyie kazi
 
Unafiki na kujipendekeza kumeliharibu taifa sana. Eti bodi inaongozwa na profesa ambaye alishindwa kujua jambo lile litamkasirisha bosi.
 
Hawa wapuuzi walijitakia wenyewe; wamevuna walichopanda.
 
Sauti ya onyo isinge sikika. Onyo hutolewa kimyakimya ofisini. Mama ilibidi aongeze sauti
 
Hata mimi ndicho NAJIULIZA ndiyo maana nimeleta thread hii ili WAZEE wa KAZI pale Geti Jeusi waifanyie kazi
Hii ni double standard, suala si wafanyie kazi..na wao km wanafanya ubaguzi wa aina hii ni kosa! Iwapo zipo sababu za kuwaacha jabir na Mwenyekiti wake si waziseme zijulikane..si kukaa kimya!
 
Sauti ya onyo isinge sikika. Onyo hutolewa kimyakimya ofisini. Mama ilibidi aongeze sauti
Ni sawa lkn ndio ubaya wa kufanya kazi kwa ajili watu wakuone,,wamefanya ili public ijue,,,lkn ingetosha kuonyana kwq barua kali huko huko ndani ya sekta zao
 
Tuhuma lazima itolewa ili vyombo vya haki jinai vifanye kazi na kuthibitisha kuwa ni kweli au siyo kweli. Kama siyo kweli tuhuma inafutwa, kama ni kweli anaanza kusota na Mahakama

Huna haki ya kutuzuia kutuhumu
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…