TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

Kawaida tu

Mtoa mada sijaona dharau zozote hapo labda wewe kwa mtazamo unaona ni dharau

Unataka kuniambia hakuna mema ambayo Nape aliyafanya?

Mnyonge mnyongeni lkn haki yake apewe
Rais atengue halafu umpongeze aliyetenguliwa? Unatuma ujumbe gani kwa Mamlaka ambayo pia uko chini yake? Kuwa serious.
 
Ungekuwa unajuwa mema ya Nape ungekuwa umeshayaandika tayari. Usingeuliza swali hilo tena
Nauliza kwasababu inashangaza sana hayo unayosema ,,,kwahiyo inamaa siku zote alikuwa anashinda bonanza na hakuwahi kufanya kazi ya uwaziri? Upo serious bado?
 
1719490955641.jpg
 
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.


Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi

Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Yaani hawa jamaa ata mimi nilishangaa, ina maana tulikuwa na marais kibao. Yaani mashirika ya umma yanatumika kupongeza mawaziri waliotumbuliwa badala ya Rais aliyeko madarakani. Waziri ni mtu mdogo sana. Usishangae ni mawaziri hao hao walikuwa wanajisafisha kupitia mashirika ya umma tu. Hawa jamaa walifanya vibaya, si sawa kabisa. Toka niko mtoto enzi za mwalimu anayepongezwa kupitia mashirika na media za serikali kwa maandishi kama yale ni Rais aliyeko madarakani au Rais anyemaliza muda wake. Ina maana wanamdanganya rais wanaposema mama ametoa pesa kadhaa au kafanya kitu fulani. Tena hawa hawa ndo walionekana kusifia rais lakini sasa wanajipongeza kwamba wamefanya kazi nzuri. Mbaya sana!!!!
 
Back
Top Bottom