TCRA yaipiga faini ya Tsh. bilioni 11.89 Kampuni ya Intaneti ya Raha Limited kwa kuendesha shughuli zake bila kuwa na kibali

Suala la kupigwa faini si issue bali kiasi cha faini. Uzoefu unaonyesha wana inflate bila kuzingatia hali halisi. Unakumbuka makenikia walidai mabilioni mangapi ya dola na zimelipwa ngapi?
 
Mkuu kama Lowasa alienadiwa miaka 8 kwamba hafai hata kurumangia ugali, baadae akadekiwa barabara na watu walewale, imagine hao watu ni watu wa aina gani?
 
UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Umesha thamanisha ukaona hakifiki bilion 1?

Hizi siasa zimetufanya tuwe wapumbavu kabisa hii nchi kumbe?
 
UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
Inategemea na walichoiba,Sheria haiangalii mtaji,inakupiga fine kulingana na wizi uliufanya
 
Mkuu kama Lowasa alienadiwa miaka 8 kwamba hafai hata kurumangia ugali, baadae akadekiwa barabara na watu walewale, imagine hao watu ni watu wa aina gani?
Ndio hapo sijakaa niwaelewe.
Wanataka nchi. Leo Magu wanaona hafai 2025 watakutana na Majaliwa au Yeyote wa ccm , watasema bora Magu alikuwa anakemea, kumbuka walimuira JMK kuwa Vasco da gama. Hana sauti anachekacheka. Akawaletea Chuma.
Leo wanamuita baba. Wajijui kabisa
Tangu waitupe pembeni ile orodha ya mafisadi wakiita
The list of shame.
Nikasema tunapoteza kushabikia hawa watu
 
Umesha thamanisha ukaona hakifiki bilion 1?

Hizi siasa zimetufanya tuwe wapumbavu kabisa hii nchi kumbe?
Hao wana mahaba si mapenzi
Mwenye mahaba haoni. Huishia kuachika tu
 
Hawa TCRA siku hizi kwenye vikao vyao wanachojadili ni nani apigwe faini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…