Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Maana yake wanawaambia waondoke.Sasa hiyo kampuni kama imeendesha shughuli bila kibali ikiondoka watawakamata wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake wanawaambia waondoke.Sasa hiyo kampuni kama imeendesha shughuli bila kibali ikiondoka watawakamata wapi.
Suala la kupigwa faini si issue bali kiasi cha faini. Uzoefu unaonyesha wana inflate bila kuzingatia hali halisi. Unakumbuka makenikia walidai mabilioni mangapi ya dola na zimelipwa ngapi?Kama kila kitu tunaona upuuzi acheni Tz liwe shamba la bibi majengo ya hizi tasisi tupigie rumba.
Mwenye uwezo wa Redio, Tv Kuvua samaki , ikiwa ni Uwindaji au chochote tusimbugudhi, maana ni uupuzi kila serkali ikfanya.
Lkn hakika ukienda kwao hata ku puuu utalipia kodi.
Yaani rushwe matangazo ya redio bila kulipia, thubutuuuu. Yaani sijui kwanini tujidharau hivi? Tuko inferior kwa hawa jamaa mpaka wanatushangaa.
Mkuu kama Lowasa alienadiwa miaka 8 kwamba hafai hata kurumangia ugali, baadae akadekiwa barabara na watu walewale, imagine hao watu ni watu wa aina gani?Kama kila kitu tunaona upuuzi acheni Tz liwe shamba la bibi majengo ya hizi tasisi tupigie rumba.
Mwenye uwezo wa Redio, Tv Kuvua samaki , ikiwa ni Uwindaji au chochote tusimbugudhi, maana ni uupuzi kila serkali ikfanya.
Lkn hakika ukienda kwao hata ku puuu utalipia kodi.
Yaani rushwe matangazo ya redio bila kulipia, thubutuuuu. Yaani sijui kwanini tujidharau hivi? Tuko inferior kwa hawa jamaa mpaka wanatushangaa.
Umesha thamanisha ukaona hakifiki bilion 1?UPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ona sasa unavyojidharau,,Tisiaraei bwana kampuni yenye thamani ya faini hiyo haijawepo Tanzania bado.
Kwasababu tz inabana watu walipe kodi?Tanzania ni sehemu hatarishi kwa uwekezaji kuliko hata Zimbabwe.
unaongea na mimi au unaongea na simu?Kwasababu tz inabana watu walipe kodi?
Faini haina uhalisia....Hadi october tutashuhudia mengi
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchuuzi!Sasa hiyo kampuni kama imeendesha shughuli bila kibali ikiondoka watawakamata wapi.
Aliyeleta hii taarifa hayuko makini, labda hesabu hazijui vizuri!Mbona siioni hiyo faini ya shilingi billion 11?
Inategemea na walichoiba,Sheria haiangalii mtaji,inakupiga fine kulingana na wizi uliufanyaUPUUZI MTUPU! Kampuni thamani yake haifiki hata bilioni moja halafu faini yake ni bilioni 11? 😳😳😳😳
Watakamata mitamboKuvuja kwa pakacha nafuu ya mchuuzi!
Ndio hapo sijakaa niwaelewe.Mkuu kama Lowasa alienadiwa miaka 8 kwamba hafai hata kurumangia ugali, baadae akadekiwa barabara na watu walewale, imagine hao watu ni watu wa aina gani?
Hao wana mahaba si mapenziUmesha thamanisha ukaona hakifiki bilion 1?
Hizi siasa zimetufanya tuwe wapumbavu kabisa hii nchi kumbe?