Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Muhusika wa hayo maudhui ni mlopokaji.Sababu ni nini?
CCM ni wepesi kuliko Pamba, ukiondoa dola hicho chama kinakufa kibwege sana!ccm ni ma kunguru kinyama, mna jinasibu mna wanachama milioni 13 halafu una ogopa uchaguzi huru?
Mama KasemaSababu ni nini?
Watakuja WajombaHalafu utegemee wawekezaji kuja kwenye nchi yenye serikali ya hivi..? labda mwekezaji feki!
Hao watakuja..sabb wanataka kuiba waondoke.Watakuja Wajomba