Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #41
ngoja tuone mwisho wakeSaa100 sio mtu
ngoja tuone mwisho wakeSaa100 sio mtu
Mwisho wake ni kifongoja tuone mwisho wake
Kuwa gwajima atauwawa?Mwisho wake ni kifo
Hata yeye anajua wamepanga kumuuaKinachofuata ni Gwajima kuuwawa tu sasa, serikali ya kishamba sana hii.
ndiyo walivyopangaKuwa gwajima atauwawa?
Hawawezi kufuta kote, bado itapatikana YouTube, X, BBC, Aljazeera, nkTCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima
Mafwele tayari yuko mawindonindiyo walivyopanga
Kuna mwajiriwa ana two optionsSababu ni nini?
"Mlopokaji", look at this.Muhusika wa hayo maudhui ni mlopokaji.
Huyu ni kati ya lile GENGE muhimu la askari wa Samia, lenye lengo la kumbakisha madarakani kwa gharama yoyote..Barua hiyo ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dr. Jabiri Bakari,
Ni wakati mwafaka wa kutenganisha "Genge la Samia" linalokitumia chama hicho; na CCM yenyewe.CCM ni wepesi kuliko Pamba, ukiondoa dola hicho chama kinakufa kibwege sana!