WAmemtukana sa100 sio sisi wananchi, so kila mtu ale urefu wa kamba yake mkuu!Gen z kenya Wana haki ya kututukana

nikikutana nao nitawanunulia maji ya kunywaGen z kenya Wana haki ya kututukana
Mtaishia alikoishia jiwebado chadema tutakula nao sahani moja awamu hii wallah
Mwezi JulyMtaishia alikoishia jiwe
Ayo yenyewe ina msimamo gani?Hii ndio Taarifa ya Sasa
AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini Tanzania.
Barua hiyo ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dr. Jabiri Bakari, imeeleza kuwa maudhui hayo hayakufuata sheria na kanuni za Uandishi kwasababu yalikosa mizania inayotakiwa kutokana na kubeba taarifa za upande mmoja pekee japokuwa mwishoni mwa taarifa hiyo kulikua na maelezo ya AyoTV yaliyoeleza kuwa inaendelea kuzitafuta Mamlaka za Serikali ili kusikia upande wao juu ya yaliyosemwa na Mbunge huyo.
TCRA imeielekeza AyoTV iondoe maudhui hayo hadi pale itakapoupata upande wa pili ( Mamlaka za Serikali) ili kuweka mzania wa habari husika kwa kuwapa nafasi upande wa Serikali au Mamlaka husika kutolea ufafanuzi kauli hizo za Askofu Gwajima na kusisitiza kuwa endapo AyoTV itapuuzia au kukaidi kutekeleza maagizo hayo ya TCRA, Mamlaka haitosita kuchukua hatua zaidi za kisheria na kiudhibiti dhidi ya AyoTV.
Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Kutokana na agizo hili la TCRA na masharti ya leseni yetu kutoka kwa Mamlaka hiyo, tunawafahamisha Wasomaji wetu kuwa endapo hawatoendelea kuyaona maudhui hayo katika mitandao yetu kuanzia leo May 31 2025, waelewe kuwa ni kutokana na kutii agizo hili la kutoka kwenye Mamlaka TCRA inayotusimamia Vyombo vya Habari ambapo tunalazimika kuyaondoa hadi pale juhudi zetu tulizozianza tangu May 24,2025 za kuzitafuta Mamlaka za Serikali zitakapofanikiwa.
Je wanaolalamika kuwindwa na kutekwa huwa mizania inafanywa wapi na nani?Barua hiyo ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dr. Jabiri Bakari, imeeleza kuwa maudhui hayo hayakufuata sheria na kanuni za Uandishi kwasababu yalikosa mizania inayotakiwa kutokana na kubeba taarifa za upande mmoja pekee japokuwa mwishoni mwa taarifa hiyo kulikua na maelezo ya AyoTV yaliyoeleza kuwa inaendelea kuzitafuta Mamlaka za Serikali ili kusikia upande wao juu ya yaliyosemwa na Mbunge huyo.
🤣 🤣 🤣ccm ni ma kunguru kinyama, mna jinasibu mna wanachama milioni 13 halafu una ogopa uchaguzi huru?
🤣 🤣 🤣ccm Ina jinasibu Ina wananachama milioni 13, halafu bado Wana teka na kuua wapinzani ili washinde chaguzi kudadadeki
Saa100 sio mtuHii ndio Taarifa ya Sasa
AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini Tanzania.
Barua hiyo ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dr. Jabiri Bakari, imeeleza kuwa maudhui hayo hayakufuata sheria na kanuni za Uandishi kwasababu yalikosa mizania inayotakiwa kutokana na kubeba taarifa za upande mmoja pekee japokuwa mwishoni mwa taarifa hiyo kulikua na maelezo ya AyoTV yaliyoeleza kuwa inaendelea kuzitafuta Mamlaka za Serikali ili kusikia upande wao juu ya yaliyosemwa na Mbunge huyo.
TCRA imeielekeza AyoTV iondoe maudhui hayo hadi pale itakapoupata upande wa pili ( Mamlaka za Serikali) ili kuweka mzania wa habari husika kwa kuwapa nafasi upande wa Serikali au Mamlaka husika kutolea ufafanuzi kauli hizo za Askofu Gwajima na kusisitiza kuwa endapo AyoTV itapuuzia au kukaidi kutekeleza maagizo hayo ya TCRA, Mamlaka haitosita kuchukua hatua zaidi za kisheria na kiudhibiti dhidi ya AyoTV.
Soma Pia: Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Kutokana na agizo hili la TCRA na masharti ya leseni yetu kutoka kwa Mamlaka hiyo, tunawafahamisha Wasomaji wetu kuwa endapo hawatoendelea kuyaona maudhui hayo katika mitandao yetu kuanzia leo May 31 2025, waelewe kuwa ni kutokana na kutii agizo hili la kutoka kwenye Mamlaka TCRA inayotusimamia Vyombo vya Habari ambapo tunalazimika kuyaondoa hadi pale juhudi zetu tulizozianza tangu May 24,2025 za kuzitafuta Mamlaka za Serikali zitakapofanikiwa.
View attachment 3352233