PreGE2025 TCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima

PreGE2025 TCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
No Reforms No Election

Nakazia:

Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
 
Ni wakati mwafaka wa kutenganisha "Genge la Samia" linalokitumia chama hicho; na CCM yenyewe.
Hii haina maana kuwa CCM kama chama kitageuka kuwa malaika, hapana, lakini ni lazima watu waelewe sasa tofauti iliyopo.

Akina Gwajima wamo tele ndani ya chama hicho, ambao sasa wanaburuzwa tu na hili genge la Samia. Hawajui waanzie wapi kujinasua na hili Genge. Gwajima kajaribu, lakini bado wanayo hofu kama walivyotishiwa na huyo huyo Samia, tena bila aibu mbele ya Mkutano wao Mkuu!


Uzi huu ulijielekeza:

Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

Cc: Pascal Mayalla, imhotep, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, njinjo, Drlfter, binti viziwi, Nyanye Go, Fortila, johnthebaptist na wale wengine waliomo na wasiokuwamo, au nasema uongo?
 
LEO 06 Septermber 2025

TCRA YATUMIA RUNGU BADALA YA OMBI KWA JAMIIFORUMS

Kufungiwa JamiiForums kwa siku 90 ni muendelezo wa ugandamizaji kwa vyombo huru vya habari.

Wengine wanaandikiwa barua kuombwa na TCRA kuondoa maudhui
 
LEO 06 Septermber 2025

TCRA YATUMIA RUNGU BADALA YA OMBI KWA JAMIIFORUMS

Kufungiwa JamiiForums kwa siku 90 ni muendelezo wa ugandamizaji kwa vyombo huru vya habari.

Wengine wanaandikiwa barua kuombwa na TCRA kuondoa maudhui
Samia ni muoga sana
 
TCRA ina sheria za kiimla kwa kubagua, kuifungia JamiiForums mna ajenda ya siri.
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania taarifa kwa umma 2022

Fahamu Kazi na Majukumu ya TCRA kwa Mujibu wa Sheria

View: https://m.youtube.com/watch?v=brTHSwKizlM


UTANGULIZI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ni Taasisi ya Serikali yenye jukumu la kusimamia Sekta ya Mawasiliano nchini Tanzania. Sekta ya Mawasiliano inajumuisha Utangazaji, Simu na Intaneti, na Posta. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa kwa iliyokuwa Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC) na Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC). TCRA ilianza kutekeleza majukumu yake tarehe 1 Novemba 2003.Kazi na Majukumu ya TCRA kwa Mujibu wa Sheria Kwa mujibu wa Kifungu Na. 5 cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya 2003, TCRA ina wajibu wa: -1. Kuhimiza ushindani bora na uchumi wenye tija;2. Kulinda haki na maslahi ya watumiaji;3. Kuhamasisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa watumiaji wote ukijumuisha watumiaji wenye kipato kidogo, walioko vijijini na watumiaji ambao wako katika maeneo yasiyokuwa na mvuto wa kibiashara;4. Kuimarisha elimu kwa umma, uelewa na kuzifahamu huduma zinazosimamiwa na TCRA; na Kuhakikisha umuhimu wa kulinda na kutunza mazingira
 
Ni maajabu mtu anayekemea utekaji ndio anaonekana hatari na tishio.

Ila watekaji wanafurahia maisha na kuonekana sio hatari.

Interesting times to be alive.
 
Back
Top Bottom