PreGE2025 TCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huo upande wa pili wa story ya Gwajima wanaotaka story ikabalansiwe ni upi? Kwani Gwajima alimtaja nani ambaye anapaswa kuthibitisha au kukanusha?
 
Huko Facebook imeenea sana. Sasa sijui wataipiga ban Facebook au watumiaji wa Facebook. Matumizi ya nguvu nyingi badala ya akili ndio matokeo yake.
 
Huku jamhuri ya twitter tunaangalia kama kawaida ,sisi MAKENGE
 
Wamechelewa maana tayari tunazo.
 
ccm Ina jinasibu Ina wananachama milioni 13, halafu bado Wana teka na kuua wapinzani ili washinde chaguzi kudadadeki
CCM ilishaishiwa wanachama muda mrefu sana ndio maana haijiamia kamwe,ndio maana inaiba kura kila uchaguzi CCM bila wizi hautoiona na itapotea kabisa kwenye uso wa Dunia.
 

Ukiona hivyo sindano itakuwa imemwingia mtu, hadi kwenye mifupa!
 
"Dr Jabir Bakar " kwenye hizi taasisi mbona kama viongozi wote wa juu ni kutoka Kule?
 
Je kauli za sirikali huwa zinafuata mizania , Kwa kuwapa raia upande wa pili wa shillingi au hizi ripoti za uchunguzi , zina wapa watu wengine hiyo nafasi
 
Ishi! Nyie TCRA mbona smri yenu nayo inaonekana ni amri ya upande mmoja bila mtuhumiwa kupewa haki ya kujieleza, mnakataa nini mnafanya nini, mmelewa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…