TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
 
Wewe akili yako ni kule mmu kujadili miswambwanda sio huku
Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
 
Back
Top Bottom