TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti....
Muda wa maongezi kwanzia saa nne USIKU Hadi saa kumi na mbili asubuhi kwenye bando ni wa lazima? Hapa Kuna ufisadi maana muda huo WENGI tunakuwa TUMELALA.iwe ni hiari ya mnunuzi sio kulazimishwa taf mh.Waziri pitia na huko
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Hizo Channel 5 mara waseme 6 ni zipi? Continental cha Sahara Media wanatoa zote 3 na Radio zake za IPP Media lakini mara chache sana wanatoa yao hiyo moja na Radio zao mbili Africa na Kiss FM.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti....
Wewe miezi mitatu yote serious mbona ni kama ndugai na wale akina mdee covid-19
 
Huyu Waziri ataliwa kichwa soon.

Ni kweli suala la wananchi kuibiwa bandle, internet na chanel za bure kutooneshwa bure kweli linahitaji miezi mitatu?
 
Safi sana... haya ndiyo mambo yanayotakiwa.

Siyo kukimbizana tu na maudhui, na ku-Ban watu na faini za kiuonevu.

Sasa wakimbizane na mitandano na kuwachukulia hatua kwa Bundles za ujanja ujanja.


Cc: mahondaw
 
Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
Inaonesha unamuelewa Jiwe kuliko Ndugulile ambaye alimtumbua na kamrudisha tena,kama vp omba nafasi hiyo ufanye kazi vile Jiwe anavyotaka.
 
Kwa upande wa Ving'amuzi startimes upande wa Dish havionekani hivyo vya bure, maelezooo mengiii eti ongeza pesa ndiyo uone! shubamitii🙁🙁
Jiongeze mkuu....
Usiniulize how

ni haki yako ...
 
Back
Top Bottom