kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Muda wa maongezi kwanzia saa nne USIKU Hadi saa kumi na mbili asubuhi kwenye bando ni wa lazima? Hapa Kuna ufisadi maana muda huo WENGI tunakuwa TUMELALA.iwe ni hiari ya mnunuzi sio kulazimishwa taf mh.Waziri pitia na hukoWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti....