Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Na mimi nilitaka kushangaa...miezi mitatu mingi sana...hata wiki moja ni kubwa mno.Miezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
Baada ya miezi mitatu hutamwona tenaMiezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
Nilitaka kusema hivyo hizo ni siasa tuBaada ya miezi mitatu hutamwona tena
Uchaguzi umeisha hakuna anaye wawekea bando tenaNilitaka kusema hivyo hizo ni siasa tu
Halafu leo yuesiesiara mwanalumumba mashuhuri buku 7 nae yupo analalamika vifurushi [emoji23][emoji23][emoji23] si ndio sera za sisiemu
Unadhani corporate issue zinafanyika rapid kishkaji tu.?Miezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
KabisaNa mimi nilitaka kushangaa...miezi mitatu mingi sana...hata wiki moja ni kubwa mno.
Baada ya miezi mitatu hutamwona tena
Subiri kama kuna mtu atakuwa anaongelea tenaHuu ni uchawi sasa
Kama hutaki kupangiwa muda wa kifurushi kuisha tumia vocha kavu ambayo hujajiunga ππMuangalie na swala la muda hela yangu halafu napangiwa muda wa matumizi yaniiii...ππ
Si wanataka mpka iundwe tume ya uchunguzi[emoji3166][emoji3166]Miezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
Sijasikia vizuriπ₯±π₯±Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
He he! Endelea kukariri.Kama hutaki kupangiwa muda wa kifurushi kuisha tumia vocha kavu ambayo hujajiunga ππ
Unajua maana ya kujiunga lakini?