TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

"Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu"

Hongera sana Askofu Mwingira kwa kauli hii. Na tunamwomba Mungu, neema, baraka na ukuu wake, vizidi kumiminika juu yako.

Watu wa Mungu, inapobidi kukemea, maandiko yanasema, kemeeni hata kwa ukali.
 
Haya wanayoyafanya TCRA, ndiyo mioni mwa mambo ua kipumbavu ambayo Mungu ameiruhusu Serikali ifanye.
 
Wewe ni wa kuhurumiwa, kwa sababu umjinga kupindukia. Hujui hata maana ya mahubiri.
 
Sasa kukifungia kipindi si ndio utakuwa upuuzi na upumbavu zaidi?
 
piga chini watumishi wa michongo hao maana hawaeleweki wanamtumikia Mungu au Shetani ...
 
Upumbavu ndio ukakasi kwa uongozi ama mamlaka?

Angetaka kwa kingereza kwamba stupidity TCRA wangeshangilia sana.

Sawa, ngoja tusubiri.
Kwank Neno Upuuzi na Ufisafi lipi Baya??

Hawa jamaaa bora uwaita majizi na mafisadi 🤣🤣🤣
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mamlaka zipo active sana hongereni sana TCRA na Rais wetu
 
Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022
Message sent
 
Ukitazama kwa makini kuna timu zinatengeneza bond kimyakimya kwa style fulani dhidi ya chombo fulani
  1. Vieite na kundi lake
  2. Mwingi na Rashid
  3. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…