TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

"Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu"

Hongera sana Askofu Mwingira kwa kauli hii. Na tunamwomba Mungu, neema, baraka na ukuu wake, vizidi kumiminika juu yako.

Watu wa Mungu, inapobidi kukemea, maandiko yanasema, kemeeni hata kwa ukali.
 
Haya wanayoyafanya TCRA, ndiyo mioni mwa mambo ua kipumbavu ambayo Mungu ameiruhusu Serikali ifanye.
 
ndiyo maana watu kama hawa huwaga wanapotea tu na wapotee tu maana hawana maana kuendelea kuwepo anaacha kuhubiri anaanza mapambano na serikali ngoja ushauri wa kagame utumike muone sasa mtakuwa mnaongelea wapi ujinga wenu huo kweli mamlaka mnayaona kama shangazi zenu?huyo siyo mtumishi maana hata vitabu vinasema tutii mamlaka yeye anatukana mamlaka senzi sana huyo jamaa
Wewe ni wa kuhurumiwa, kwa sababu umjinga kupindukia. Hujui hata maana ya mahubiri.
 
Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano...
Sasa kukifungia kipindi si ndio utakuwa upuuzi na upumbavu zaidi?
 
piga chini watumishi wa michongo hao maana hawaeleweki wanamtumikia Mungu au Shetani ...
 
Upumbavu ndio ukakasi kwa uongozi ama mamlaka?

Angetaka kwa kingereza kwamba stupidity TCRA wangeshangilia sana.

Sawa, ngoja tusubiri.
Kwank Neno Upuuzi na Ufisafi lipi Baya??

Hawa jamaaa bora uwaita majizi na mafisadi 🤣🤣🤣
 
Tanzania kuna wajinga wengi sana iku hizi iwapo mtu kama huyu naye eti ana wafuasi wanaompa hela za sadaka. Ukishasikia mtu anajiita Mtume au Nabii ujua ana tatizo wala usimsikilize kabisa.

Vile vile wanaoitwa Askofu bila kuwa na structure yoyote ujue pia ni tatizo, kwani askofu hupatikana kwa structure fulani; kwa mfano huwezi kuwa na waziri mkuu pasipokuwapo mawaziri.

Lakini Tanzania leo imejaa hawa mitume, manabii na maaskofu wasioelewaka na bado wana wafuasi sana.
 
Kipindi cha EFATHA kimesimamishwa kwa miezi mitatu, huku Star Tv ikipewa onyo na kuamriwa kuomba radhi watazamaji na umma kwa siku tatu mfululizo kuanzia Januari 25 - 27, 2022
Message sent
 
Sidhani kama TCRA watamfunga mdomo kwa style hiyo, huyu mtu naona muda wake wa kuongea umefika, ni kama vile alikuwa anateseka kwa kujiuliza nafsini mwake aseme au anyamaze, sasa ameamua kusema kwake liwalo na liwe, heri awe na amani ya nafsi kuliko kumfurahisha mtawala huku akikosa amani ya nafsi yake.
Ukitazama kwa makini kuna timu zinatengeneza bond kimyakimya kwa style fulani dhidi ya chombo fulani
  1. Vieite na kundi lake
  2. Mwingi na Rashid
  3. ?
 
Back
Top Bottom