Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Cc: Nape Nnauye Kuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KahabaMwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Mshauri wa rais ni waziri mwenye dhamana.Hivi chui jike anaelewa outcome ya kila jambo analolifanya? 🤣 🤣 Napata tabu sana kuelewa uwezo wa washauri wake wa karibu kwa haya yanayoendelea
Umeambiwa baada ya miezi mitatu wewe eti siku tatu?Naona kama wamekipa Promo hiko kipindi bila kujijua. Baada ya siku tatu wakirudi hewani ndio nitaanza kukifuatilia.
"Chui jike" ushaga sikia sauti yake?...ng'weeu ng'weeeu!Mwambieni huyo mbweha kuwa nipo hapa siku 3 then nitaondoka.
yani hapo Yesu anawaambia watu wamwambie mtawala. Anamuita rais au mfalme mbweha .
kama mfalme aliitwa mbweha huyu mama tumuite jina la mnyama gani?
Mkuu,,,,, Kama wewe sio mmoja kati ya waliofungia kipindi Basi utakuwa chawa kindakindaki wa bimkubwa wa ikulu!!ndiyo maana watu kama hawa huwaga wanapotea tu na wapotee tu maana hawana maana kuendelea kuwepo anaacha kuhubiri anaanza mapambano na serikali ngoja ushauri wa kagame utumike muone sasa mtakuwa mnaongelea wapi ujinga wenu huo kweli mamlaka mnayaona kama shangazi zenu?huyo siyo mtumishi maana hata vitabu vinasema tutii mamlaka yeye anatukana mamlaka senzi sana huyo jamaa
Kabisa"Serikali fanyeni upuuzi wenu Mungu amewaruhusu, lakini muda sio mrefu atakuja kumalizana na upumbavu wenu"
Mwisho wa Kunukuu.
Hawa TCRA inaonesha uwezo wao wa kung'amua mambo ni mdogo sana.Hawaoni kuwa tozo,kufukuza machina na kuporomoka kwa uchumi ni upiumbavu unaofanywa na serikali?ifike mahali taasisi za serikali ziajili watu wenye uwezo na sio hawa wa kusifusifu hata kwenye upumbavu na upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo yupoo au hayupo!?'Shetani mzima mzima yuko Ikulu'
Mtume na nabii, Josephat Mwingira
Muambie Gwajima hivyoFungia maish tu,
Hatutaki kuchanganya dini na siasa
Mbona Sasa nawewe umerudia Hayo maneno yenye ukakasi hapa?Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano...