View attachment 2464442
TCRA imetoa onyo kali kwa Makampuni na Watu binafsi wanaoingiza nchini vifaa vya mawasiliano vikiwemo visimbuzi vya CANAL PLUS na kufanya biashara ya kutoa huduma za Televisheni kupitia satelaiti bila kuwa na leseni, imesema visimbuzi hivyo havijaidhinishwa.
Bei zao ni nafuu na mechi zote za ulaya unaonaCanal+ ina nini kipya kuzidi akina DStv, Azam, et. al? Mwenye kufahamu please.
Canal+ ina nini kipya kuzidi akina DStv, Azam, et. al? Mwenye kufahamu please.
Canal+ Wana channels nyingi zenye Akili hata premier League wanaonesha ingawa matangazo Yao ni lugha ya kifaransa kumbuka western Africa wanatumia canalCanal+ ina nini kipya kuzidi akina DStv, Azam, et. al? Mwenye kufahamu please.
Bei ya kifurushi ipo chini. Ukilipa elfu 36 kwa mwezi unatazama ligi mbalimbali za Ulaya ikiwemo England, Uefa, Ueropa, nk, tofauti na Supersport gharama ipo juu.Canal+ ina nini kipya kuzidi akina DStv, Azam, et. al? Mwenye kufahamu please.
Utatumia hadi siku udakwe ndo utajuaTukiendelea kuvitumia watavizima? Au tutawajibishwa kisheria
Mikoa mingi ya pembezoni kama Kagera,kigoma na mara wanatumia canal kwa miaka mingi Sana nakumbusha kipindi Fulani masasi tumecheki mechi nyingi kupitia canalNinashida nacho kinalipa kwa biashara ya mpira
Anzisha weweBADO KUANZA KUSAMBAZA UMEME MAKAMPUNI BINAFSI
TUMECHOKA NA TAANESCOOOO