TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

Nilitaka kulipia kingamizi cha canal ni sh ngapi..wakala anipm
 
ATAKAYESIKILIZA VIBABU VISHENZI VYA TCRA VINAVYOPANDISHA BANDO KILA SIKU YA MUNGU, HANA AKILI.

Someone aanze kusambaza home internet ili akili ziwakawe sawa hawa mbwa.
 
Tcra ni wahuni tu mbona bado tunaendelea kuvitumia tu na vinapiga kazi na hata madish ya elon musk starlink tunatumia fresh nyie endeleeni kuongeza bei za bando tu
 
kufanya biashara ya kutoa huduma za Televisheni kupitia satelaiti bila kuwa na leseni, imesema visimbuzi hivyo havijaidhinishwa.
Siku zote sector binafsi inaadvance kwa haraka kuliko serikali na hiyo yote ni kwasababu ya urasimu wa kipumbavu ndiyo maana watu wanaamua kuwa na vyanzo vyao vya umeme kisa ukiritimba na urasimu wa shirika la umeme
 
***** yani nmesetiwa jana leo nakutana na tangazo la marufuku kwel bongo nyoso
 
Kuna jamaa kafunga dish anapata internet bure......je? Ndio hiyo kanali nini nini sijui plasii?
 
Canal+ ina nini kipya kuzidi akina DStv, Azam, et. al? Mwenye kufahamu please.
We jamaa usioneshe hujui kwa kiwango hiki. Canal Plus unataka ilinganisha na huo uchafu wa Azam? Nchi kama China wanakunyonga kabisa kwa ulicho andika maana wataona kama ni hasara kwa Taifa kuwa na mtu kama wewe
 
Back
Top Bottom