TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

Mikoa mingi ya pembezoni kama Kagera,kigoma na mara wanatumia canal kwa miaka mingi Sana nakumbusha kipindi Fulani masasi tumecheki mechi nyingi kupitia canal
Nikiwa vizuri nitakucheki ili unipe muelekeo was kukipata hapo masasi
 
Bei ya kifurushi ipo chini. Ukilipa elfu 36 kwa mwezi unatazama ligi mbalimbali za Ulaya ikiwemo England, Uefa, Ueropa, nk, tofauti na Supersport gharama ipo juu.

Vibanda umiza wanavitumia sana. Wanatuma hela wakala yupo Burundi ndio anawanunulia vifurushi.

Kwa nini gharama za vifurushi vya ving'amuzi bongo ipo juu sana? mana naskia hata Supersport ya South Africa ipo chini. Azam ya Burundi pia ipo chini!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah; kweli tuhamie Urundi! Kumbe kule maisha rahisi kuliko Bongolala!
 
Its all about the Moolah....

Hii serikali ni waroho wanaotaka kuvuna na kula hata wasipopanda..., wametuminya kwenye Bundle na huku wanafanya kile kile mwisho wa siku hata hizi packages huenda ni gharama kutokana na uroho wao...

Kutokuwepo kwa TCRA huenda ni bora kuliko uwepo wao..., Totally Useless...
 
Kama viongozi wa Tanzania wapo kwa ajili ya kufuata matakwa ya raia wengi, sasa kwa nini TCRA wasiwafafute hao Canal+ ili wawavute waje wafungue rasmi ofisi zao Tanzania?

Kama Canal+ wakifungua ofisi zao rasmi nchini Tanzania, je, bei ya vifurushi itabaki kama ilivyo sasa? Au kifurushi kile kile kitakuwa na bei tofauti-burundi bei chini, Tanzania bei juu!

Je, si kwamba hizi chokochoko zinaletwa na makampuni kama Multuchoice Tanzania inayomiliki Supersport ili yaendelee kuwanyonya wapenzi wa michezo?

TCRA wakaribisheni hao Canal+ waje walete ushindani Tanzania. Kurusha kwa kifaransa siyo ishu ukizingatia ni michezo tu! Humu Tanzania kuna wataalam wa kugha ya Kifaransa watashughulikia masuala ya kontent kana mnahisi Kifaransa ndio shida. Mbona kuna chanel za lugha mbalimbali kwenye ving'amuzi vilivyopo!

Ikija bongo bei itakuwa juu c unajua tra ni wasengerema karibu na mwanza
 
Attachments

  • 20230308_122341.jpg
    20230308_122341.jpg
    1 MB · Views: 25
Back
Top Bottom