TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Kwa maneno hayo adhabu waliyopewa ni ndogo,walipaswa kufungiwa kituo kabisa
 
Baba levo nae anataka kuuharibu ustaarabu wa kitanzania Mila na desturi zetu

Maendeleo hayana vyama
 
Walipaswa kufungiwa kwa miaka mitano
 
TCRA ni chanzo cha kuokoteza manka?
Shosti hujaleta taarifa rasmi ya TCRA hapa umeandika kipumbavu tu.

Taarifa rasmi ya TCRA lazima iambatane na barua yao embu kaitafute uendeleze u jobless wake hapa ala!
 
Kama ndio hivi wafungiwe tu.
 
Shosti hujaleta taarifa rasmi ya TCRA hapa umeandika kipumbavu tu.

Taarifa rasmi ya TCRA lazima iambatane na barua yao embu kaitafute uendeleze u jobless wake hapa ala!
Wewe peke yako ndio una mashaka lazima una msambwanda wewe.... Hahahaaaa!
 
Kazi na nidhamu, utu staha n.k watchout
 

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 18 mwaka huu.

Uamuzi huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba jijini Dar es Salaam ambapo amesema hatua hiyo ni kutokana na kituo hicho kukiuka kanuni namba 11 ya Kanuni za Mawasiliano ya kielektroniki na Posta ya mwaka 2018.

Mhandisi Kilaba amesema kuwa ukiukwaji huo wa kanuni ulifanyika katika vipindi vya The Switch na Mashamsham.

Aidha, ametoa rai kwa vyombo vya habari kuzingatia kanuni za utangazaji wa maudhui yenye lugha ya staha kwa Watanzania huku akiitaka Wasafi FM kuomba radhi kwa umma wa Watanzania.
 
Vijana wa ACT wazalendo hao!
Huyu anasema wembamba wanachoka mapema kuliko wenye msambwada

Yule kule anasema ushoga ukifanyika chumbani mtu asisumbuliwe kwani ni faragha

Huku imani zinakataza na John Pombe Magufuli anakazia tumwombe Mungu sana......, tujenge misikiti na makanisa watu wamwabudu
 
Nilishangaa sana Diamond anaajiri criminal
kwenye taasisi makini, ukishafungwa jela hupewi kazi hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…