johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
TCRA ni chanzo cha kuokoteza manka?JF na kuokoteza vitaarifa kutoka vyanzo vya kuaminika 😝😝
hivi wewe Yohana hunaga kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCRA ni chanzo cha kuokoteza manka?JF na kuokoteza vitaarifa kutoka vyanzo vya kuaminika 😝😝
hivi wewe Yohana hunaga kazi?
Mlidhani hizi sheria kandaminzi za CCM zitaishia kuwaumiza wapinzani pekee??Duh!!!!!!
Ma nini.. bora TCRA waonyeshe wapo macho..
Kwa maneno hayo adhabu waliyopewa ni ndogo,walipaswa kufungiwa kituo kabisaIla niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....
Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....
Baba levo akajibu yeye wanawake wembamba asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile la utamu.....
Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Kila mmoja ana September Seven (9/7) yake by Tundu Lisu!Kila mmoja atafikiwa kwa muda wake yaani, jini limeshatoka kwenye chupa.
Baba levo nae anataka kuuharibu ustaarabu wa kitanzania Mila na desturi zetuTCRA imekifungia kituo cha utangazaji cha Wasafi Fm baada ya watangazaji wake na mgeni wao baba Levo kutumia lugha za matusi na zinazoudhi mbele ya jamii.
Mfano neno " msambwanda" linakarahisha
Kituo cha Wasafi hakikuwa hewani kwa muda wa siku 7 kwa mujibu wa adhabu waliyopewa.
Maendeleo hayana vyama!
Walipaswa kufungiwa kwa miaka mitanoIla niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....
Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....
Baba levo akajibu yeye wanawake wembamba asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile la utamu.....
Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Shosti hujaleta taarifa rasmi ya TCRA hapa umeandika kipumbavu tu.TCRA ni chanzo cha kuokoteza manka?
Vijana wa ACT wazalendo hao!Baba levo nae anataka kuuharibu ustaarabu wa kitanzania Mila na desturi zetu
Maendeleo hayana vyama
Kama ndio hivi wafungiwe tu.Ila niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....
Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....
Baba levo akajibu yeye wanawake wembamba asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile la utamu.....
Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Wewe peke yako ndio una mashaka lazima una msambwanda wewe.... Hahahaaaa!Shosti hujaleta taarifa rasmi ya TCRA hapa umeandika kipumbavu tu.
Taarifa rasmi ya TCRA lazima iambatane na barua yao embu kaitafute uendeleze u jobless wake hapa ala!
Kwa maneno hayo adhabu waliyopewa ni ndogo,walipaswa kufungiwa kituo kabisa
Kabisa.Walipaswa kufungiwa kwa miaka mitano
Kazi na nidhamu, utu staha n.k watchoutTCRA imekifungia kituo cha utangazaji cha Wasafi Fm baada ya watangazaji wake na mgeni wao baba Levo kutumia lugha za matusi na zinazoudhi mbele ya jamii.
Mfano neno " msambwanda" linakarahisha
Kituo cha Wasafi hakikuwa hewani kwa muda wa siku 7 kwa mujibu wa adhabu waliyopewa.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu anasema wembamba wanachoka mapema kuliko wenye msambwadaVijana wa ACT wazalendo hao!
Juzi tu Diamond alikuwa anakata mauno ccm Kirumba.Shetani hana rafiki