TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Media za Bongo imekuwa fasheni kuajiri lopolopo eti ndo watangazaji!

Shame!
Hapo ndo kuna tatitizo mkuu, hata mimi nimekuwa nikijiuliza, ukijua kuongea ongea ndo unakuwa mtangazaji bora,? lakini hii qualification naiona inatumiwa na media za mwendo kasi tu, nimefuatilia kwenye media makini hazijaajili watu wa namna hiyo!
 
Hapo ndo kuna tatitizo mkuu, hata mimi nimekuwa nikijiuliza, ukijua kuongea ongea ndo unakuwa mtangazaji bora,? lakini hii qualification naiona inatumiwa na media za mwendo kasi tu, nimefuatilia kwenye media makini hazijaajili watu wa namna hiyo!

Media makini kwa Bongo ni zipi, hebu tusaidie!
 
Sio sawa hii fungia fungia kwanini msitoe onyo kwanza itafika mahali watu wata watakosa uhuru kuwekeza pesa zao
 
Wafungie zote tu, tubaki na redio ya taifa tusikilize ilani ya chama chetu na nyimbo za kuwapinga mabeberu. Hizi stesheni zinatangaza upuuzi tu na vijana wanapoteza uzalendo.
 
Tatizo wanafungia week 1 au 2. Me nadhani wangepigwa kama miezi 6 na kuendelea heshima ingekuwepo.
 
Msambwanda Kwan tusi
Hao Hao wenyewe wakiona misambwanda wanapagawa

Ova
Haikuishia kwenye neno misambwada, ameongea maneno mengi ya kudhalilisha kacheck video
 
serikali huwa ina watu wake inapotaka jambo lake,hata wewe tunaweza kukutumia kupata tunachotaka licha ya uchadema wako
ukiingia ndani utaona kabisa kwamba huyo alikuwa wetu kule acacia
ohh masikini mataga.
 
Ila niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....

Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....

Baba levo akajibu yeye wanawake wembamba asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile la utamu.....




Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Aisee
tatizo jamaa wamemjaza sana sifa.
na wasanii wanajiona wako juu ya sheria wanaweza kuropoka chochote
Kukata mauno hakuzuii kuchukuliwa sheria iwapo atatenda kosa
Heshma, maadili na Nidhamu lazima vidumishwe
tatizo wabongo siasa imezuia uwezo wao wa kupambanua jema na baya
 
Bado diamond anakata viuno wakati wasafi imefungiwa...anahamasisha watu wampe mitano tena..tutaelewana taratibu tu
 
Back
Top Bottom