TCRA yawafungia Wasafi FM kwa kutumia lugha za matusi

Hayo matusi imetoa media au baba levo akiwa anahojiwa na hiyo media?
 
Duh Hahahaha
Dozi wanapewa zam kwa zam

Ova
 
Duh! Hii kiboko!!
 
TCRA imesitisha leseni ya utangazaji ya Wasafi FM kwa siku 7 kuanzia leo Septemba 11, 2020 na kutakiwa kuomba radhi kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za mwaka 2018. TCRA imesema kituo hicho kilikiuka kanuni kupitia vipindi vya The Switch na Mashamsham.
 
Sasa wao nao kuokoteza kila Mtu tu akae kwenye chombo cha habari walitegemea nini?.
 
Kuna yule anajiita juma lokole sijui kasomea wapi utangazaji maana ushubwada anaouongea hewani lazma wafungiwe tu.
 
Yes kama Mwanyika aliyehukumiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi ila leo ni mgombea ubunge wa CCM huko Njombe 🤣
serikali huwa ina watu wake inapotaka jambo lake,hata wewe tunaweza kukutumia kupata tunachotaka licha ya uchadema wako
ukiingia ndani utaona kabisa kwamba huyo alikuwa wetu kule acacia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…