Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwa Hiyo Sisi Tunaoishi Dar Na Kitaa Tumehalalisha MATUSI mbele ya hadhira?!!!Umeona na kusikiliza kipindi kilichosababisha media kufungwa au umeamua tu kuchangia kwa kutumia hisia?!
"leo mtakaa pembeni na kutuacha tuteseke peke yetu mkiamini kuwa hayawahusu ila wakimalizana na sisi watawageukia na nyie" By Tundu Lissu
Kila mmoja ataugusa na kuubusu mkono wa bwana...!!!"leo mtakaa pembeni na kutuacha tuteseke peke yetu mkiamini kuwa hayawahusu ila wakimalizana na sisi watawageukia na nyie" By Tundu Lissu
😂😂Nope mkuu
#amteamHater
Duuuh Inawatosha Banaaa...Kama ni hivyo tcra wapo sawa, tena hiyo adhabu ya wiki 1 ni ndogo sana, shwain zao.
Kuzima radio kwa siku 7 sio jambo dogo jamani.Mkuu Sasa Hapo Wamekomolewa Nini?!!!
Nina hofu na Serikali Yenu.... Kwani Siku Mkiingia Madarakani, Basi kila mtu atafanya atakalo na kuwa zaidi ya RUKSA ya Mzee Wetu Ali Hassan Mwinyi...
Ukute watangazaji wa radio ile katika mizaha yao "walihojihoji ama kujadilijadili" mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa mwaka huu "MATUSI!!"Kuzima radio kwa siku 7 sio jambo dogo jamani.
Kiongozi fikiria umekaa na family yako mnasikiliza hayo maneno!Duuuh Inawatosha Banaaa...
Yaani Waongezewe Wiki Tuzidi Kukosa Uhondo Wa SPORTS ARENA?!![emoji16][emoji16][emoji16]Acha hizo banaaa
Alinyanyua mikono Mo seuze Mondi!!???Usanii tu huu kuna watu wanataftwa kama sio diamond kagoma kupiga shoo hadi vijijini.
Nasikia jamaa kagoma et inaua brand yake
sasa hata kama ni ww alichoongea baba levo mbele ya radio na duniani kote sio sawa haivumiliki kwa mambop yale....mtu hata hafichi nenoHizi Radio za mwendokas ni shida sana
Walitegemea wataongeza audience kumbe ndio kupigwa Loss
Nimemkumbuka Zembwela hapa..
BTW. . Bado yale mambo ya kijinga kutangaza magazeti kishabiki
Maudhui kama haya eti chadema wanakuja na hoja kuwa WAKIWAMALIZA HAO WATAWAGEUKIA NYIE....Ila niliitazama kile kipindi kiukweli TCRA wanakahaki ya kufungia stesheni. Yaani kipindi kimekosa maudhui hadi basi.....
Baba levo aliulizwa swali kuwa kati ya mwanamke mnene mwenye shepu na wembamba ni yupi anapendelea....
Baba levo akajibu yeye wanawake wanene/mabonge asichowapendea ni wanachoka haraka kitandani halafu wanakuharakisha na wewe ukojoe haraka haraka, so yeye huwa anachofanya anawakojolea mkojo wa kawaida na sio bao lile bao la utamu.....
Katika hali ya kawaida mazungumzo ya namna hii hayana hadhi ya kurushwa hewani as if ni jambo la kawaida na wakati ni kinyume na maadili yetu ya kitanzania na kiafrika lakini mbaya zaidi inachochea maswala ya ngono.
Wale wasoma magazeti wanatakiwa wakamatwe wapuuzi sana waleHizi Radio za mwendokas ni shida sana
Walitegemea wataongeza audience kumbe ndio kupigwa Loss
Nimemkumbuka Zembwela hapa..
BTW. . Bado yale mambo ya kijinga kutangaza magazeti kishabiki
Kwa haiba ya Diamond unahisi anaweza kuigomea Chama kubwa!!?Usanii tu huu kuna watu wanataftwa kama sio diamond kagoma kupiga shoo hadi vijijini.
Nasikia jamaa kagoma et inaua brand yake