TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?

kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki
Dah! Hii nchi haishiwi drama kabisa..
 
Sasa hivi unaambiwa GB 10 unapewa kwa TZS 1,000 in a week na dakika almost 300 mitandao yote; na 30 GB per month kwa just 5,000. Ngoja hiyo mwezi Machi ifike haraka next week.
Mmmmh sio Tanzania hii. Labda itakuwa nchi ya ahadi ndio tutapata vifurushi hivyo.
 
Watu bwana hawanaga zuri ni kutafuta udhaifu tuu, wange zichukua mnaua sekta binafsi maelekezo yametoka et drama sasa walete mtani kwa nani?
Kuna fine reasonable kama hizo...si bora wangesema wamezionya hizo sio kusema wamepiga fine...
Fine gani hilipi unazitumia tena ww mwenyewe?
 
Hizi faini za namna hii ziletwe na barabarani, yaani unaambiwa makosa ya gari lako alafu unaambiwaisilipe, hiyo faini karekebishie makosa ya gari lako.
Washakaa mezan na kupanga jinsi ya kugawana washanz hawa wanatufanya cc wajinga
 
Ndio maana Airtel wameshusha ukubwa wa vifurushi ili wapate pa kupigia kulipa hiyo faini.
 
daaah! hivi hiyo ni faini au ni mazungumzo ya pande zote mbili?

kwanini faini za namna hizo wasitozwe wananchi mmoja mmoja kama kodi za biashara,makosa barabarani..!!!
 
Du Trillion 40! Si unafunga kampuni mkuu, wale Wadada wa pale HQ makumbusho, na viatu vyao vya mchuchumio, vimin, Kiingereza kingi, wakikosa ajira si watachakaa balaa.
Jiwetype awawazi hilo hawa waathirika wa malezi ya kifukara.
 
Nimehuzunika sana Halotel 3.4 billion kweli? Nilitamani hii namba kwa uchache angalau ingezidishwa Mara 4 tupate 12billion huko. Hawa Halotel ni miongoni mwa watesi wetu.
Wakibanwa wao nao ukubana wwe.usiwatupie lawama
 
Washakaa mezan na kupanga jinsi ya kugawana washanz hawa wanatufanya cc wajinga
Hii hekima iliyotumika kubwa sana, wewe huwezi kuelewa; mlisemaga JPM anatafuta tu mahali wa kuvuna hela!??? Tiisiiaraei wamezikataa sasa hizo za faini, semeni lingine.
 
daaah! hivi hiyo ni faini au ni mazungumzo ya pande zote mbili?
kwanini faini za namna hizo wasitozwe wananchi mmoja mmoja kama kodi za biashara,makosa barabarani..!!!
Mkuu kweli kabisa- unapigwa faini ya taa mbovu unaambiwa hiyo hela kanunue taa uweke ndani ya siku 90- ITAPENDEZA SANA
 
Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?

kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.
Saikolojia na siasa huwa haviachani mbali sana.

Hapo ni sawa na wamepewa muda wa kufanya marekebisho ya huduma, ishu ya faini ni saikolojia tu.
 
Wezi wakubwa hao Mitandao inatudanganya lain za 4G kumbe ni 2G Sasa wanawapiga fine halafu wanawaludishia Tena si ndo watalala kabisa watuletee 1G
 
Sasa hizo mbona zimekaa kama siyo faini bali kama wamepewa maelekezo watenge bajeti kuboresha matatizo yao😀😀
 
Hii hekima iliyotumika kubwa sana, wewe huwezi kuelewa; mlisemaga JPM anatafuta tu mahali wa kuvuna hela!??? Tiisiiaraei wamezikataa sasa hizo za faini, semeni lingine.
Sio fine sasa hiyo, mbona wengine wanabeba.
 
Back
Top Bottom