The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Hata airtel serikali inahisa nyingi ndo pona pona ya hao wengineKilichowaokoa hao wengine ni TTCL Kama yeye angelipa hiyo b angefilisika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata airtel serikali inahisa nyingi ndo pona pona ya hao wengineKilichowaokoa hao wengine ni TTCL Kama yeye angelipa hiyo b angefilisika
Thanks TCRA!
Kiswahili chenyewe unababatiza, jaribu tu Kihispania chenu cha akina Dos Santos06Punguza chuki na tigo mkuu
Wakipigwa faini ya kufungiwa kwa muda, wakirejea ndipo hutalipa mara mia!??? Nashauri tu hii mitandao ya simu ifutwe, watu tutumie VPN & SBL (Simu Bila Laini)Faini siyo tatizo kwao kwa kuwa wanaolipa hizo faini watumiaji. Mara ngapi wanapigwa faini na makosa ni yale yale?
TCRA wanabidi waweke sheria ili kampuni yoyote ikiuka, ifungiwe kwa muda mpaka pale itakapofuata hizo sheria.
Hii ni mara ya ngapi wanapigwa faini kwa makosa yale yale? Hizo pesa za faini ni wewe na ndugu zako watalipa. Angalia vifurushi vya mitandao ya simu? Muda si mrefu vocha ya 500 inaenda kupotea
Na mwanafamilia naye amezembea akapigwa 1.3!!! nani kasababisha hilo?Kampuni hizo na faini zilizotozwa kwenye mabano ni ni Airtel (Sh11.5 bilioni), Tigo (Sh13 bilioni), Halotel (Sh3.4 bilioni), Vodacom (Sh7.8 bilioni), Zantel (Sh1 bilioni) na TTCL Sh1.3 bilioni.
Wangepiga mnada kila kitu mpaka wafanyakazi wao na bado wasingeweza kulipa deniMakadirio ya faini kwa Tigo yamewekwa chini sana; ilitakiwa Tigo tu ipigwe faini ya kati ya trilioni 20 hadi 40.
Cha bas bro ya kwel haya mbona africa nzima sis ndo tutakua na cheap service au umesikia vbayaSasa hivi unaambiwa GB 10 unapewa kwa TZS 1,000 in a week na dakika almost 300 mitandao yote; na 30 GB per month kwa just 5,000. Ngoja hiyo mwezi Machi ifike haraka next week.
Airtel piaMakadirio ya faini kwa Tigo yamewekwa chini sana; ilitakiwa Tigo tu ipigwe faini ya kati ya trilioni 20 hadi 40.
Bora wangesema wamezipa onyo, lakini huwezi kusema faini halafu useme pesa hawatatoa...Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?
kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.
Nahisi hujaelewa maana ya hayo maneno..Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?
kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.