TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

Faini siyo tatizo kwao kwa kuwa wanaolipa hizo faini watumiaji. Mara ngapi wanapigwa faini na makosa ni yale yale?
TCRA wanabidi waweke sheria ili kampuni yoyote ikiuka, ifungiwe kwa muda mpaka pale itakapofuata hizo sheria.
Hii ni mara ya ngapi wanapigwa faini kwa makosa yale yale? Hizo pesa za faini ni wewe na ndugu zako watalipa. Angalia vifurushi vya mitandao ya simu? Muda si mrefu vocha ya 500 inaenda kupotea
Thanks TCRA!
 
Wakipigwa faini ya kufungiwa kwa muda, wakirejea ndipo hutalipa mara mia!??? Nashauri tu hii mitandao ya simu ifutwe, watu tutumie VPN & SBL (Simu Bila Laini)
 
Daah hii faini nimeikubali sana ingeletwa kwetu kwa sisi wahujumu uchumi badala ya kulipa faini tunatumia hizo pesa kuboresha uchumi wetu
 
Kampuni hizo na faini zilizotozwa kwenye mabano ni ni Airtel (Sh11.5 bilioni), Tigo (Sh13 bilioni), Halotel (Sh3.4 bilioni), Vodacom (Sh7.8 bilioni), Zantel (Sh1 bilioni) na TTCL Sh1.3 bilioni.
Na mwanafamilia naye amezembea akapigwa 1.3!!! nani kasababisha hilo?
 
Makadirio ya faini kwa Tigo yamewekwa chini sana; ilitakiwa Tigo tu ipigwe faini ya kati ya trilioni 20 hadi 40.
Wangepiga mnada kila kitu mpaka wafanyakazi wao na bado wasingeweza kulipa deni
 
A
Sasa hivi unaambiwa GB 10 unapewa kwa TZS 1,000 in a week na dakika almost 300 mitandao yote; na 30 GB per month kwa just 5,000. Ngoja hiyo mwezi Machi ifike haraka next week.
Cha bas bro ya kwel haya mbona africa nzima sis ndo tutakua na cheap service au umesikia vbaya
 
Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?

kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.
Bora wangesema wamezipa onyo, lakini huwezi kusema faini halafu useme pesa hawatatoa...
 
Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?

kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.
Nahisi hujaelewa maana ya hayo maneno..

Kwa maana nyingine ni kwamba WATUMIE hizo FAINI kama chachu ya kubadirika.. yaan wajifunze kutokana na Makosa na sii kwamba et wasilipe faini.
 
Back
Top Bottom