Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Dah! Hii nchi haishiwi drama kabisa..Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?
kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki
Mmmmh sio Tanzania hii. Labda itakuwa nchi ya ahadi ndio tutapata vifurushi hivyo.Sasa hivi unaambiwa GB 10 unapewa kwa TZS 1,000 in a week na dakika almost 300 mitandao yote; na 30 GB per month kwa just 5,000. Ngoja hiyo mwezi Machi ifike haraka next week.
Kuna fine reasonable kama hizo...si bora wangesema wamezionya hizo sio kusema wamepiga fine...Watu bwana hawanaga zuri ni kutafuta udhaifu tuu, wange zichukua mnaua sekta binafsi maelekezo yametoka et drama sasa walete mtani kwa nani?
Washakaa mezan na kupanga jinsi ya kugawana washanz hawa wanatufanya cc wajingaHizi faini za namna hii ziletwe na barabarani, yaani unaambiwa makosa ya gari lako alafu unaambiwaisilipe, hiyo faini karekebishie makosa ya gari lako.
Jiwetype awawazi hilo hawa waathirika wa malezi ya kifukara.Du Trillion 40! Si unafunga kampuni mkuu, wale Wadada wa pale HQ makumbusho, na viatu vyao vya mchuchumio, vimin, Kiingereza kingi, wakikosa ajira si watachakaa balaa.
Wakibanwa wao nao ukubana wwe.usiwatupie lawamaNimehuzunika sana Halotel 3.4 billion kweli? Nilitamani hii namba kwa uchache angalau ingezidishwa Mara 4 tupate 12billion huko. Hawa Halotel ni miongoni mwa watesi wetu.
Hii hekima iliyotumika kubwa sana, wewe huwezi kuelewa; mlisemaga JPM anatafuta tu mahali wa kuvuna hela!??? Tiisiiaraei wamezikataa sasa hizo za faini, semeni lingine.Washakaa mezan na kupanga jinsi ya kugawana washanz hawa wanatufanya cc wajinga
Mkuu kweli kabisa- unapigwa faini ya taa mbovu unaambiwa hiyo hela kanunue taa uweke ndani ya siku 90- ITAPENDEZA SANAdaaah! hivi hiyo ni faini au ni mazungumzo ya pande zote mbili?
kwanini faini za namna hizo wasitozwe wananchi mmoja mmoja kama kodi za biashara,makosa barabarani..!!!
Saikolojia na siasa huwa haviachani mbali sana.Mmewapiga fine ila fine wasilipe wazitumie wenyewe kuboresha huduma. Hizi drama kwa nn zisiletwe mtaani huku?
kidadari apigwa fine ya bilion 6 kwa kukwepa kodi hivyo asilipe hizo hela bali azitumie kuboresha biashara zake na kulipa kodi stahiki.
Punguza chuki na tigo mkuuMakadirio ya faini kwa Tigo yamewekwa chini sana; ilitakiwa Tigo tu ipigwe faini ya kati ya trilioni 20 hadi 40.
Nimehuzunika sana Halotel 3.4 billion kweli? Nilitamani hii namba kwa uchache angalau ingezidishwa Mara 4 tupate 12billion huko. Hawa Halotel ni miongoni mwa watesi wetu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Makadirio ya faini kwa Tigo yamewekwa chini sana; ilitakiwa Tigo tu ipigwe faini ya kati ya trilioni 20 hadi 40.
Sio fine sasa hiyo, mbona wengine wanabeba.Hii hekima iliyotumika kubwa sana, wewe huwezi kuelewa; mlisemaga JPM anatafuta tu mahali wa kuvuna hela!??? Tiisiiaraei wamezikataa sasa hizo za faini, semeni lingine.