and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Ulisoma BA (Kiswahili) halafu GPA 3.3?Dah, inauma sana kukosa point tu kufikia hiko kigezo. Wakilegeza masharti tena mpaka 3.4 tustuane jamani.
Kama kungekuwa na kurisiti kozi ulizofeli ili kusafisha cheti ningerudia semister moja ambayo tulipangiwa wakutubi wabovu kuwahi kutokea katika nchi za jangwa la sahara. Hawa ndio waliniharibia timming.