Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Okay. Vip mnaendeleaje hapo World Bank
Huku shughuli zinaenda poa na tumeazimia kuwanyima lile fungu la kusapoti elimu kwa kuwa tumenusa harufu ya ubadhirifu wa mipunga anaofanya jiwe na vibaraka wake 🤣🤣🤣🤣

Kuna roughneck za hapa na pale mnazotuchezea katika ripoti zenu mnazoleta huku WB!
 
Vipi GPA kwa mtu anaye taka kusoma Degree Bado 3.0 au wame legeza nako???kwani kuna madogo wame maliza Diploma wana shindwa kwenda kusoma Degree.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile

Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali

Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe 😂
vipi kuhusu college inabaki 3.5 au wameshusha pia...?
 
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile

Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali

Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe 😂
Elimu yetu imeshakuwa siasa. Tukifanya masihara tutazidi kuivuruga Elimu yetu alafu tuanze kutafuta mchawi nani?
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Hivi na private wanalipa sawa na serikali au wao wanaongeza mkuu??
 
Kwa huo mshahara inakua rahisi kukopesheka pia mzee
Na bado maresearch na shughuli nyingne za Chuo kunalipa
Ukiwa mtamu kwenye kuandaa Projects ndio kabisa! Wewe unakuwa hazina kwa chuo na mipunga ni ya chap!

Kuna Doc mmoja ananiambiaga akitaka kuagiza gari anaadaa paper zake kadhaa tu. Akikamilisha tu mipunga ni chap.
 
Kabisa mkuu

Mwenye Masters anayeanza 2.5M

Ukiongeza PhD unaanza na 3.2M
Lakini hii mishahara mboba sio mikubwa kivile ukilinganisha na Private maana serikali hawabadili scale yako ya mshahara haraka haraka maana katika kuhangaika niliwahi fanya interview ILO mshahara ulikua 7m na hakuna kukatwa kodi walikua wanataka 2 years experience na Bachelor tu..sema sikuwahi kuipata
 
Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Lakini huko mtaani siyo wote mnapata hiyo 3 m ndani ya wiki kuna wanaosota miezi mi 3 hawajaipata na ni PhD holder
 
Back
Top Bottom