brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Yani nikiona mshahara wa PhD holder ni huu nachoka kabisa inakatisha tamaa