Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Ulisoma BA (Kiswahili) halafu GPA 3.3?
 
Lakini mkuu unaweza piga postgraduate diploma nasikia inasaidia pia ukishapiga PhD yako hawaangalii vigezo
Ko tafuta PhD yako hapo 😉
 
Lakini mkuu unaweza piga postgraduate diploma nasikia inasaidia pia ukishapiga PhD yako hawaangalii vigezo
Ko tafuta PhD yako hapo 😉
Naskia wameifuta mkuu! Juzi nilikuwa naongea na cousin wangu ni Lecturer.

Anadai wamei cancel ikiwa ni sambamba na ku harmonize hicho kigezo cha 3.5 kwa vyuo vyote vya serikali.

So ile shortcut ya kibaharia ya kutambaa na chaki ya PGD wameikataa. Nilitaka nipenyee huko.
 
Doh bhasi wamebana eneo hilo

Lakini ukiwa na Limaster lako unaweza kuomba part time lecture au occasion lecture au na hii wameifuta
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
 
Hata hivyo kuna watu wana 3.6, 3.7 undergraduate na wameajiriwa kwenye hivyo vyuo vyako connection inamatter pia☹☹
Yaani university bila connection utaishia kuharibu hela za nauli tu kwenda kwenye interview, Tena siku hizi vyuo vingi vinaajiri wanafunzi wao ukishindwa kujipendekeza wakat ukiwa mwanafunzi basi imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…