Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kiherehere vilaza nyinyi...mliopata 3 mbovu ndio mnahangaika but kama unajiamin ungekaa kimya2..ndio nyinyi mkishapata vyuo vyenu vya kata mnavipaisha mseme ndio namba1..
Daah madogo siku hizi mna mcheche kweli kwani hivyo vyuo vinaenda wapi hadi mjisumbue hivojaman kuna jamaa yangu kajua sehemu alipopangiwa bila majina kutolewa na chuo husika alichokifanya ni kutafuta mawasiliano ya kila chuo alichojaza na kuwapigia na kuwaomba wamchekie jina lake kama lipo kwnye chuo icho kawapgia st john st agustn teku pia na udom kwa bahat nzur jina lake lipo UDOM kumbe inawezekana kujua fasta
Acheni kiherehere vilaza nyinyi...mliopata 3 mbovu ndio mnahangaika but kama unajiamin ungekaa kimya2..ndio nyinyi mkishapata vyuo vyenu vya kata mnavipaisha mseme ndio namba1..
wenzio VILAZA wewe KIAMKA, kwo ww ulipata 3 nzuri au 1. Unaowaita vilaza na ww wte mwachukua faculty 1, na mtakuwa na mshahara mmoja. Af ukute ana marefa wazr au ana mtaj mzur wa kujiajiri at the end anakuzid had kipato. Du kwel hamnazo.
Jaman naombeni mnijuze eti kwa wale ambao hawakufanya application tcu kuna round nyingine au?
MH..! siku hizi hiyo kitu haipo... wote hupitia tcu... no direct admissionpole sana
lakini nasikia sikia kuwa huwa wanatoa nafasi za kuomba moja kwa moja chuoni kama nafasi bado zipo sijui ni kweli wadau?
Wadau wa Elimu,leo mdogo wangu aliye jkt kanitumia taarifa kuwa tcu wametoa Majina,ila kwenye web yao huwezi kuona lolote wao eti wametumia chip ya Airtel.
Hivyo kama kuna mdau yeyote mwenye hii chip na njia za kuangalie atusaidie,isije kuwa madogo wamepigwa changa la macho.
Nawasilisha.....update muhimu ..