TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Acheni kiherehere vilaza nyinyi...mliopata 3 mbovu ndio mnahangaika but kama unajiamin ungekaa kimya2..ndio nyinyi mkishapata vyuo vyenu vya kata mnavipaisha mseme ndio namba1..

Kwa hiyo ww ulipata 3 nzuri.. Amakweli Nyani haoni........!!!!
 
jaman kuna jamaa yangu kajua sehemu alipopangiwa bila majina kutolewa na chuo husika alichokifanya ni kutafuta mawasiliano ya kila chuo alichojaza na kuwapigia na kuwaomba wamchekie jina lake kama lipo kwnye chuo icho kawapgia st john st agustn teku pia na udom kwa bahat nzur jina lake lipo UDOM kumbe inawezekana kujua fasta
Daah madogo siku hizi mna mcheche kweli kwani hivyo vyuo vinaenda wapi hadi mjisumbue hivo
 
Acheni kiherehere vilaza nyinyi...mliopata 3 mbovu ndio mnahangaika but kama unajiamin ungekaa kimya2..ndio nyinyi mkishapata vyuo vyenu vya kata mnavipaisha mseme ndio namba1..

wenzio VILAZA wewe KIAMKA, kwo ww ulipata 3 nzuri au 1. Unaowaita vilaza na ww wte mwachukua faculty 1, na mtakuwa na mshahara mmoja. Af ukute ana marefa wazr au ana mtaj mzur wa kujiajiri at the end anakuzid had kipato. Du kwel hamnazo.
 
naamini kila kitu kipo poa so wanajmvi let us keep in waiting........................tyme will tell
 
wenzio VILAZA wewe KIAMKA, kwo ww ulipata 3 nzuri au 1. Unaowaita vilaza na ww wte mwachukua faculty 1, na mtakuwa na mshahara mmoja. Af ukute ana marefa wazr au ana mtaj mzur wa kujiajiri at the end anakuzid had kipato. Du kwel hamnazo.

Mkuu ndio wasomi wetu haooo
 
Jaman naombeni mnijuze eti kwa wale ambao hawakufanya application tcu kuna round nyingine au?
 
kama mtu hakufanya na alitakiwa kufanya basi asisumbuke kuangalia jina lake kama amepangiwa chuo na hakuna round nyingine mpendwa.
 
Jaman naombeni mnijuze eti kwa wale ambao hawakufanya application tcu kuna round nyingine au?

pole sana
lakini nasikia sikia kuwa huwa wanatoa nafasi za kuomba moja kwa moja chuoni kama nafasi bado zipo sijui ni kweli wadau?
 
Kaka hiyo unayosema direct kwabaazi ya vyuo! nihivi unasoma first semister matokeo yakija unakuta umedisco hataukaze vp mfno mzuri pale if.. kunakamchezo hako.
 
Wadau wa Elimu,leo mdogo wangu aliye jkt kanitumia taarifa kuwa tcu wametoa Majina,ila kwenye web yao huwezi kuona lolote wao eti wametumia chip ya Airtel.
Hivyo kama kuna mdau yeyote mwenye hii chip na njia za kuangalie atusaidie,isije kuwa madogo wamepigwa changa la macho.
Nawasilisha.....update muhimu ..
 
Ni kweli wadogo zangu *150*44# THEN FUATA MAELEKEZO
 
Back
Top Bottom