instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Haya maoni Yako umefanyia utafiti? Au umekuja hapa umekunywa zako supu ya mapupuHaiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Umesoma hata kufika hiyo level ya advance kuona hata huo ugumu wa kupata division 2?Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Acha tu nikuambie ukweli. Huu ushauri wako hakuna atakayeuchukua. Unaweza kuendelea baadae kuandika, it's your choice ila unapoteza muda kuaandika upuuziHaiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Hajafanya utafiti. Watu wa division II baadhi ya kozi hapa Tz wanakosa nafasi kwa sababu ya competition lakini wakienda kuomba vyuo vya nje ya nchi ambavyo ni vikubwa kuliko vya Tz wanapata nafasiHaya maoni Yako umefanyia utafiti? Au umekuja hapa umekunywa zako supu ya mapupu
Mbio mbio ukaja hapa kutema upupu wako?
Kwani diploma inatolewa wapi?au na vyuo gani?zamani kulikuwa hakuna haja hata ya kuwa na hiyo division one unayoihitaji.ukimaliza kidato cha nne na c zako nne unaenda chuo kikuu na unaperfom wonders.shida vijana wa leo mna mambo mengi vichwani.mnakariri sana badala ya kuelewa vitu.unadhani mwenye dv II au III hawezi kufanya vizuri!siyo kweli hiyo ni nadharia tu.Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Utakuwa umesoma UDSM!Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Una miaka mingapi?Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Yaan Kila comment inamshangaa afanye tafiti sio kukurupuka na kuandika emotionalHajafanya utafiti. Watu wa division II baadhi ya kozi hapa Tz wanakosa nafasi kwa sababu ya competition lakini wakienda kuomba vyuo vya nje ya nchi ambavyo ni vikubwa kuliko vya Tz wanapata nafasi
Sasa huyu anasema wasiendelee chuo kikuu kwa hapa Tanzania wakati same people vyuo vya nje ya nchi vinawakubali kwa same division II ambazo mleta mada anashauri wasiendelee na masomo
Kwani ilitakiwa nifanye nini kwenye huu mudaAcha tu nikuambie ukweli. Huu ushauri wako hakuna atakayeuchukua. Unaweza kuendelea baadae kuandika, it's your choice ila unapoteza muda kuaandika upuuzi
Ufanye vitu vingine ambavyo sio kuandika mada za kipuuziKwani ilitakiwa nifanye nini kwenye huu muda
Na mm naunga mkonoNadhani division 1 na 11 ndio waendelee chuo kikuu. Division 111 Diploma.
Ila mwenye 'D' Nne kutoka Form Four ndo anafaa.Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene,
Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji .
Nitaendelea badae kuandika
Na wnaokwepa Form Six je?Nadhani division 1 na 11 ndio waendelee chuo kikuu. Division 111 Diploma.
We ni km mtu uliyekata tamaaVipaji gani kwa elimu ya Tanzania hii? Vipaji vya kukariri? Hata wa divisheni ziro kama Nape au Mbowe kama wanaweza wajiunge tu na huu utitiri wa vyuo vikuu visivyo na tija kwa taifa 🚮