TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

Pale UDSM nimeshuhudia walioingia na Division 1 kali wanakuwa discontinued na walioingia na Div 2 au D 3 na diploma wanamaliza chuo na GPA kubwa First Class.
Matokeo ya mitihani iliyopita Kuna wakati siyo kipimo sahihi cha uwezo wa mtu.
Kuna udanganyifu, matatizo ya kifamilia, uwezo kiuchumi, afya ya mtahiniwa wakati anafanya mtihani husika, n.k.
 
Division one bila kusoma utafeli tu
 
Ila mwenye 'D' Nne kutoka Form Four ndo anafaa.
Mi mapendekezo yangu ingekuwa Kuingia Chuo Kikuu lazima uwe na Principle Tatu za Form Six.
Hakuna juchukua equivalent waliotoka na D Nne
Angalau wewe umesema kitu kinachoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…