TCU selections are OUT!!

Status
Not open for further replies.
watoe haraka maana wengine washaanza kupagawa na mitandao,hasahasa watu wa mbwinde(vijijini)....
 
Wadau,hiyo ndo habari ya mjini.TCU imesikia kilio,shauku na malalamiko ya wanafunzi watarajiwa hivo muda huo kaa hewani.
 
hebu kausheni basi tusubilie officially in tcu web make hz za airtel ht sikuziamin nililetewa hata likozi ambalo sikuliomba!
 
jamanii kuna mtu yupo kjijini anaomba nimuangalizie...naombe mnielejeze....
 
mbona kwa sasa ina andika external aplication down, aise unatusaidiaje mkuu ambao hadi sasa bado hatujayaona, inatuchanganya sana
 
mbona kwa sasa ina andika external aplication down, aise unatusaidiaje mkuu ambao hadi sasa bado hatujayaona, inatuchanganya sana

Hii hata ikija fanya kazi hutoona my admission maana walibania watakuambia tu wait for official TCU approval kwahio itakua haina faida ... na kama kujua admossion yako labda wayaachie tena ila si dhani kwa sasa ni kuwasubiri TCU wafanye yao ! Nimesomeka
 
Kaunga omba Mungu yasikukute ukadhania umepata UD baadae ukaona kitu kingine. Kwa ukweli ninaoujua ni kwamba TCU inapeleka majina vyuoni ili yapitishwe kabla ya wao kutangaza ambapo kuwa uhakika UD bado hawajakaa kupitisha admissions. Sasa jiaminishe kitu cha UD alafu ujikute kwingineko ulie na UD.

Ushauri tutulize akili tusali tusubirie mambo kwenye magazeti na mtandao wa TCU moja kwa moja. haya mambo mengine ya mitaani sidhani kama yana tija zaidi ya ukanjanja!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I wish you all the best
 

naunga mkono hoja
 
fed up, tcu ni wapumbavuuuuuuuuuuuuuuu, wametuchosha akili zetu. hivi wanaelewa ni kwa kiasi gani inawagharimu watu kufuatilia taarifa zao??? pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
sorry Pumbavuuuu sio tusi kwa mujibu wa Mh. Sungu. ila wanaudhi mno.
 
life is in the way that u wil get what comes your way , why stress then ?, i know being new to this kind of thing brings somekind of uneasy feeling but patience is what it takes to be successful..waiting is the law of mother nature,..kama ipo ipo 2..msiogope.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…