Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,hiyo ndo habari ya mjini.TCU imesikia kilio,shauku na malalamiko ya wanafunzi watarajiwa hivo muda huo kaa hewani.
hebu kausheni basi tusubilie officially in tcu web make hz za airtel ht sikuziamin nililetewa hata likozi ambalo sikuliomba!
Je kwa voda unaona ?
Jamani mtusaidie na sisi ambao ni equivalent au diploma? Tunafanyaje? Hongereni mliopata
ni kwel hazfunguki..lets wait and see what are they up to this time..yaan had tuje kwenda chuo tutakua tumekonda kwa mawazo na presha
Hapana na kwa sasa hata hio airtel huwezi ona ki2
mkuu ukitaka kuona unafanyaje....
mbona kwa sasa ina andika external aplication down, aise unatusaidiaje mkuu ambao hadi sasa bado hatujayaona, inatuchanganya sana
Kaunga omba Mungu yasikukute ukadhania umepata UD baadae ukaona kitu kingine. Kwa ukweli ninaoujua ni kwamba TCU inapeleka majina vyuoni ili yapitishwe kabla ya wao kutangaza ambapo kuwa uhakika UD bado hawajakaa kupitisha admissions. Sasa jiaminishe kitu cha UD alafu ujikute kwingineko ulie na UD.
Ushauri tutulize akili tusali tusubirie mambo kwenye magazeti na mtandao wa TCU moja kwa moja. haya mambo mengine ya mitaani sidhani kama yana tija zaidi ya ukanjanja!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I wish you all the best
sorry Pumbavuuuu sio tusi kwa mujibu wa (Mh. Sungu.) ila wanaudhi mno.