TCU selections are OUT!!

Status
Not open for further replies.
it is 1600 now, mbona majina hayajatoka kama ilivyoahidiwa kwenye post moja humu jf??? Saa 10 usiku au kesho saa 10 jioni???
 
kama mnakumbuka vzur mwaka jana selection zltangazwa na tcu tarehe kama hizi kwaiyo wait 4 offcial annoncment ila 2liowah kujua 2mepangwa wapi mambo ni yale yale
 
Tuliomalizana na tcu tumuombe mungu kuhusu loan board msiojua mmepangiwa wapi msikate tamaaa! Ila mm nimefunga guide book ya tcu ww je?
 
tcu ishakuwa used. Hapa loan board ndo habari ya mujin.

Basi sawaa! tuendelee kusubiri iyo loan board! tuone itakuwaje maana na huko majanga tu, unaweza ukasubiri kwa hamu af unakuta dash
 
Muhimu ni kuomba mungu TCU wakitoa selection katika WEBSITE YAO uwe umechaguliwa kozi hiyohiyo maana jamaa hawatabiriki kabisaa.UNAWEZA UKAWA KWA AIRTEL UMECHAGULIWA 'UD' ALAFU TCU WAKAKUCHAGUA 'SAUT' HIVYO TUSIJIHAKIKISHIE KWA 100%.
 
me sina hamu hapa mi naombea miujiza itokee 2.!
 
Muhimu ni kuomba mungu TCU wakitoa selection katika WEBSITE YAO uwe umechaguliwa kozi hiyohiyo maana jamaa hawatabiriki kabisaa.UNAWEZA UKAWA KWA AIRTEL UMECHAGULIWA 'UD' ALAFU TCU WAKAKUCHAGUA 'SAUT' HIVYO TUSIJIHAKIKISHIE KWA 100%.

mkuu k2 n kile kile ya airtel yatoshaaa! Kama ulipangiwa st john basi ni hicho 2 ila kama n ud n ud 2
 
Nikiingia kwenye profile yangu yaandika system closed check selection status na kwenye program zipo zote tano kama nilivyoomba,hapo vp
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…