Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa hivi ni kusubiri TCU watoe kwenye web yao ...
Pia kuna jamaa aliahid ataweka admision humu jf tar 19...na watu wakamdefend kuwa ni kweli...hatimaye katokomea na haonekani tena vp bro....
Tuliomalizana na tcu tumuombe mungu kuhusu loan board msiojua mmepangiwa wapi msikate tamaaa! Ila mm nimefunga guide book ya tcu ww je?
tcu ishakuwa used. Hapa loan board ndo habari ya mujin.
Muhimu ni kuomba mungu TCU wakitoa selection katika WEBSITE YAO uwe umechaguliwa kozi hiyohiyo maana jamaa hawatabiriki kabisaa.UNAWEZA UKAWA KWA AIRTEL UMECHAGULIWA 'UD' ALAFU TCU WAKAKUCHAGUA 'SAUT' HIVYO TUSIJIHAKIKISHIE KWA 100%.

mkuu k2 n kile kile ya airtel yatoshaaa! Kama ulipangiwa st john basi ni hicho 2 ila kama n ud n ud 2
why tuandikie mate wakati wino upooo! tuendelee kusubiri tutajua tu!
kwaiyo unataka kusema chuo 2lvyopangiwa sio?