robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Kila kituKwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.
Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!
😂🤣😅😆😁😄😃😃😉Kila kitu hapa ni mavi.
Nilisikiliza maelezo vizuri, hakuna mahali alisema mitihani imefutwa, bali imebadilishiwa ratiba badala ya kufanyika nje ya kalenda ya masomo sasa itafanyika ndani ya mwaka wa masomo.Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.
Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!
Wanafunzi wanaofanya hiyo mitihani na wewe ngumbaru nani anaelewa zaidi maana ya lile tangazo?Nilisikiliza maelezo vizuri, hakuna mahali alisema mitihani imefutwa, bali imebadilishiwa ratiba badala ya kufanyika nje ya kalenda ya masomo sasa itafanyika ndani ya mwaka wa masomo.
Haraka haraka haina baraka. Mwenda pole hajikwai. Kuweni wavumilivu tu na subira mwaka unaofuata siyo mbali ni kesho tu.Kimsingi inawabana sana wanafunzi, yaani usipograduate mwaka husika ni mpaka mwaka unaofuata.
That is the stupidity of the decision! Wote tulipitia vyuoni na hata nje ya nchi. Kwa nini unahamisha? Unahamishia wapi ambako mwanafunzi hana kazi za masomo. badala yake mwaka mzima mwanafunzi anarundika mabaki ya nyuma.Nilisikiliza maelezo vizuri, hakuna mahali alisema mitihani imefutwa, bali imebadilishiwa ratiba badala ya kufanyika nje ya kalenda ya masomo sasa itafanyika ndani ya mwaka wa masomo.
Wanakanusha ujinga wao na sasa wanaingia mitandaoni kujisafisha ujinga wao.Wamekanusha hizi taarifa.
Naona vyuo vingi wameanza kutumia mfumo huu wa kufuta mitihani ya mwezi huo. Kimsingi inawabana sana wanafunzi, yaani usipograduate mwaka husika ni mpaka mwaka unaofuata.
Mi nakuunga mkono, maana hivi vyuo vya manzese vinashindwa kufanya mambo ya maana kuonesha ubora wao, wao wanadhani kutesa wanafunzi ndo kuinua elimu. Elimu gani kama huyo aliyetangaza naye ni mwalimu? Mtu local, local tu!Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.
Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!
HUkumuelewa au hukusikia vizuriHuku afrika elimu ni Anasa.
Kwahiyo yule aliyetangaza jana kuwa SUPPLIMENTARIES na SPECIAL SEAT EXAMS zimefutwa alikuwa wa yudizimu ya Galilaya au Gwazong.
UDIZIMU wamekurupuka😁😁😁na mapokeo ya wanatumbi ni fantom pro balistic.Wanasiasa washajipatia vijipoint.
#Once a shithole always a shithole!!!
You must be a shithole!Nilisikiliza maelezo vizuri, hakuna mahali alisema mitihani imefutwa, bali imebadilishiwa ratiba badala ya kufanyika nje ya kalenda ya masomo sasa itafanyika ndani ya mwaka wa masomo.
Acheni kampeni mshenzi!HUkumuelewa au hukusikia vizuri
Bro itakurudia hii. Usichafue maisha ya watu kwenye mitandao.Chuo kikuu mzumbe Kifutwe kina Maprofesa wa hovyo akiwemo Geraldine Arbogast Rasheli Urasa aliyepata degree zote kwa kuhonga naniliu
SUA ipi hio?Wanasema huo utaratibu SUa upo muda mrefu. Vipi mmewai kuukemea?