Mimi nikisikiaga hivi, huwa naamini kuna jambo la kujifunza. Lazima ipo sababu. Ukinipa nafasi, namchunguza aliyepost na huyo aliyetajwa.Bro itakurudia hii. Usichafue maisha ya watu kwenye mitandao.
Yawezekana, kule si vichakani, mashambani? Lakini je, umewanufaisha akina nani? Chuo kisileta mtindo eti uko kwa fulani. Yaani unatesa vijana kama mwingine anavyotesa wengine?Wanasema huo utaratibu SUa upo muda mrefu. Vipi mmewai kuukemea?
Sokoine University of AgricultureSUA ipi hio?
Issue ni chuo kuwa mashambani au issue ni chuo kipo chini ya TCU na hakijawai kupigiwa kelele? Kama mfumo huo unatesa wanafunzi, kwanini SUA haijapigiwa kelele?Yawezekana, kule si vichakani, mashambani? Lakini je, umewanufaisha akina nani? Chuo kisileta mtindo eti uko kwa fulani. Yaani unatesa vijana kama mwingine anavyotesa wengine?
Sitaona ajabu maana hawa wanaoitwa VCs huwa wana vikao vyao. Nadjhani wamepeana 'desa' kwamba ukiweka utaratibu huo utafaidika. Sioni faida yoyote tofauti na manufaa binafsi.
Sasa ngumbaru mwenzangu, kasome hata maelezo waliyoyatoa tena (kama tu utayaelewa lakini)Wanafunzi wanaofanya hiyo mitihani na wewe ngumbaru nani anaelewa zaidi maana ya lile tangazo?
😹😹😹😹 sasa mkuu mimi nahusikaje? Mie nilikuwa natoa tu clarity ya upotoshaji kuwa mitihani hiyo imefutwa kutokana na maelezo yaliyokuwa yametolewa. Hayo mengine sasa ni another case.That is the stupidity of the decision! Wote tulipitia vyuoni na hata nje ya nchi. Kwa nini unahamisha? Unahamishia wapi ambako mwanafunzi hana kazi za masomo. badala yake mwaka mzima mwanafunzi anarundika mabaki ya nyuma.
Acheni janja-janja isiyokuwa na manufaa ya ubora wa elimu. Vyuo vyote vimeiga kwa lengo la kuchukua pesa kwa wanafunzi tu!
😹😹😹 sasa shithole mbona hasira unanimalizia mie?You must be a shithole!
Kwani zamani ilikuwa inafanyika nje ya mwaka wa masomo. Vijisababu mshenzi sana!!!! Eti wanafunzi wanajifelisha. Sasa! ili iweje?
Hivi vyuo vimedumu miaka 60+ bila hata nobel moja. sasa wanatafuta ubora kwa ugumu wa maisha ya wanafunzi. Shiiit!
Sisi huku kwetu udom unalipia somo pesa ulilocarry , ni mwendo wa pesa tuu 😂.Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza mtindo huo kwa lengo la kujiingizia mapato ya ziada kwa sababu wanafunzi sasa wanalazimika kulipia! Hawana sababu nyingine ya kufuta mitihani hiyo.
Je, ni kweli TCU hili siyo jukumu lenu? Au ni kushindwa kuelewa mipaka yenu pamoja na wizara kwa ujumla. Badala ya kutafuta Nobel Prize Vyuo viko bize kuibia wanafunzi. wanaendelea kuigana kufanya upuuzi huu!
📌Huna akili!Sasa ngumbaru mwenzangu, kasome hata maelezo waliyoyatoa tena (kama tu utayaelewa kakini)
Nakujua hakina huu mfumo. Kaka yangu ni lecture paleSokoine University of Agriculture
🤣🤣🤣🤣 mwenye akili soma basi lisije kukukuta jambo📌Huna akili!
Wewe unahata diploma kweli,HUkumuelewa au hukusikia vizuri
USitake kukwepa hoja.Wewe unahata diploma kweli,
TCU iko hoi! Tatizo ni uongozi wa TCU unavyopatikana. Unamchukua mtu toka Chuoni, unatemea asimamie vyuo, wakati anaelewa akitenguliwa atarudi chuoni hapo hapo!Issue ni chuo kuwa mashambani au issue ni chuo kipo chini ya TCU na hakijawai kupigiwa kelele? Kama mfumo huo unatesa wanafunzi, kwanini SUA haijapigiwa kelele?
Nadhani ungeanzza sasa kufuatilia vyuo vyenye huo mfumo, uje na majibu kama ni hasara huku ukitoa ushahidi wa vyuo vinavyotumia huo mfumo. Baada ya hapo sasa ndiyo unatoa mapendekezo kwa mamlaka husika, TCU & UDSM kusitisha mfumo huo. Mapendekezo yako yakipewa nguvu na Data ulizopata, itakuwa safi sana.