TCU toeni tamko kuhusu honorary degree ya Musukuma

Taaluma inashushiwa hadhi mtu wa K3 kupewa u Dr
Mkuu,Udakatari wa heshima unaweza hata kujipa mwenyewe.Kama Chuo kimeamua kumpa Musukuma PHD ya heshima unaonaje kama na wabunge wengine wanojua kusoma wakienda kujikusanyia hizo digirii za heshima?
 
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.

Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.

TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.

Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.

View attachment 2034840
Kwani Musukuma kuitwa DR inakupunguzia nini wewe!! Acha unafiki wewe dada
Kwa wivu huu lazima ni mchawi wewe. Si bure.
 
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.

Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.

TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.

Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.

View attachment 2034840
Acha wivu bro!!!
hupendi kuona Msukuma ana makaratasi
 
Itengenezwe list of shame ya Madokta wa falsafa vihiyo.
 
Acha wivu we we kwani msukuma amehakikiwa na anastahiri kuwa hata professor. TCU unataka wafanye nini nawakati waliomtunuku ni chuo kikuuu cha kimataifa ulimwenguni koteee. Kuanzia Leo anaitwa Dr. Msukumaaa.
Kumbe hata Hawa wenye hadhi ya Dr, hawataheshimiwa tena.
 
Hongera Msukuma ucjali wivu wa watu, Hawajui tafsiri ya hio heshima, uhuru na utashi wa mtoaji. Wivu Wivu
 
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.

Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.

TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.

Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.

View attachment 2034840

3C3F7584-A112-4DC0-87CC-86B23445DAF5.jpeg
 
Hopeless fellow. Mawazo mufilisi kama haya hayawezi kulikwamua taifa. Jitu uwezo halina halafu linakuja hapa eti PhD zinasaidia nini.
Anastahili tena sana, na bora aliishia darasa la 7a na ana manufaa sana kwa jimbo lake na taifa. Wako wengi wamesoma mpaka wamepata phd ya darasani lkn hawana msaada kwenye jamii na cv zao lundo, (big up joseph kasheku msukuma).

Kuna watu wana ma phd za darasani lkn hata ulkiwaiza wenyewe wana mchango gani kwa taifa watakwambia hawajuhi zaidi ya kuwafisha mitihani watoto wa wenzao.
 
Mkuu,Udakatari wa heshima unaweza hata kujipa mwenyewe.Kama Chuo kimeamua kumpa Musukuma PHD ya heshima unaonaje kama na wabunge wengine wanojua kusoma wakienda kujikusanyia hizo digirii za heshima?
Ndio maana Haji Manara uwa namwita Dr. Haji Manara sababu nimemtunuku PHD ya heshima kwenye maswala ya Kuongea na Usemaji!
 
Acha wivu bro!!!
hupendi kuona Msukuma ana makaratasi
Msukuma mwenyewe hapendi wasomi na hujisifu na darasa lake la saba. lao hii ana shahada ya juu kabisa ambayo kapewa na wasomi .bila kusoma
amdao huwakandya kila wakati
 
Ukimwona msukuma kabeba makaburasha kule mjengoni hadi yanamwelemea uzito, unaweza kufikiri kuna bonge la msomi..........bongolala tunapenda sana mbwembwe....
 
Kwa msukuma sio feki degree isipokua ni degree ya heshima. Hizi degree huwa hazisomewiii chuo chochote anapewa mtu yoyote kulingana na majukum anayofanya kila sikuuu. Kwa Dr msukuma ni sahihi kabisaa isipokuwa kinachowawasha watu ni tofauti zetu za kisiasaa na dharau zetu za kinyumbaniii. Tupendane basiiii.
 
Kumbe U DKT no mtamu bwanaa yaan sasa ivi jamaa ana jitambulosha Kama Dkt. Lkn zaman aliwah kusikika akikashifu PHD za watu 😂😂😂😂 sasa huo NI was kupewa tu je angeutafutoa darasan ingekuwaje ?
 
Kwa msukuma sio feki degree isipokua ni degree ya heshima. Hizi degree huwa hazisomewiii chuo chochote anapewa mtu yoyote kulingana na majukum anayofanya kila sikuuu. Kwa Dr msukuma ni sahihi kabisaa isipokuwa kinachowawasha watu ni tofauti zetu za kisiasaa na dharau zetu za kinyumbaniii. Tupendane basiiii.
Hicho chuo kilichompa hiyo PhD ndiyo feki sasa kama chuo ni feki unaiamini hiyo shahada waliyotoa?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom