TCU toeni tamko kuhusu honorary degree ya Musukuma

TCU toeni tamko kuhusu honorary degree ya Musukuma

Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.

Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.

TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.

Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.

View attachment 2034840

You’re just wasting your time. Honorary degrees don’t have any practical uses!
 
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.

Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.

TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.

Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.

View attachment 2034840

46413E51-BA55-428E-8B28-9DC0FDF5677B.jpeg
 
Hivi ni kwa nini waTanzania wengi wao wanapenda kutanguliza majina yao na title fulani mfano Dr, au Prof, na kadhalika,mbona raisi mstaafu wa USA ndugu Barack Obama jina lake sijawahi ona akitanguliziwa Prof,wakati yeye ni profesa wa sheria?
 
Inaonekana umeumizwa sana? Au ww ulikosa au niseme uliipata kwa tabu na rushwa nyingi sana kuliko yeye? By the way hiyo ni kama ya kikwete tu ya pay and get instantly yaani chap chap acount award. Yeyote anaweza kupata na yeyote anaweza kukitoa mfano mm nakupa hiki
.......................................................................
INTERNATIONAL UNIVERSITY OF FOOLING AWARD
This is to certify that
.......................
The one posted this
Has disqualified to get award from our university
FRUSTRATION M.MELO JF
mentor c.e.o jf
....................................................................
Ww chako hiki kaprint ukitumie
 
Back
Top Bottom